Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Tigo qumernina zenyu,yani najiunga bundle inakataa.. sasa nmeamuwa kuitumia hvyo hvyo kiboss boss bila kujiunga kifurush chochote. MMEFURAHI SASA?
leo nasajili line nyingine alafu hii yenu nampa mtoto aichezee
 
Heee,, nifundishe vizur
Ni hivi tuchujulie namba yako ya tigo ni 0713xxxxxx, na watu wako wa karibu au wadau na wateja wameizoea hiyo namba, zamani kikwazo kilikua ukihama mtandao unapoteza na namba pia, itabidi uwajulishe watu namba Mpya!

Siku hizi namba ni Mali yako, haimilikiwi Tena na mtandao husika, kwa hiyo kama we upo tigo na unataka kuhama let's say Ttcl. Unakwenda ofisi za ttcl na kuwaambia unataka kufanya portability, ni process haichukui hata dk 10, then utapewa line ya ttcl ikiwa na namba yako ya 0713xxxxxx

Watu wakikutafuta kwa 0713xxxxx watakupata ukiwa ttcl ila watu wa tigo itabidi watumie vifurushi vya mtandao yote so tigo to tigo Tena

Sent from my BKK-AL10 using Tapatalk
 
Wanatulazimisha kukesha,wengine simu zetu za tochi wanatupa MaGb tuyafanyie nini?
 
usiku halotel ndio mwanaume
TTCL ndio hovyooo acha tu, jana nimejiunga kifurushi cha toboa night internet yake mawenge kik*ma yani. Mpaka sasa hivi nimeamua hiyo laini iwe kwenye rooter ili isipotee tu. Mie nipo halotel na nitabaki halotel labda nawao waanze kubadilika.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom