if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,461
- 2,062
Aisee bakini huko huko jamani ,msije halotel mtatuhalibia siye wenye kipato kidogo.kwani shida gani kulipia bando la 30k bwana ,tigo mbona wazuri tu,hata voda wako poa,mna lalamika nini jamani na hali mpo kwenye msafala wa raisi.Bakini hukohuko, tukijazana huku halotel watapandisha tena bei ya vifurushi
Sent using Jamii Forums mobile app
nchi ya asaliYani mwenzenu nimekata tamaa na bando za tigo zimebadilika ghafla bila taarifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee,kumbe wamebadiri,nmeteseka toka jana nikajua labda ni mtandao nikajipa moyo nikiamka mambo yatakuwa sawaShuaaiin zao kabisa, wameondoa ofa ya chuo
Aisee wewe jamaa wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Wakiondoe tu, mtu husomi chuo, lakini unakuwa na line ya mwanachuo
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wakiondoe tu, mtu husomi chuo, lakini unakuwa na line ya mwanachuo
Kubabae zaoHabari za mida hii wakuu, hivi haya mabadiliko ya bando za Tigo ni kwangu tu au kwa watu wote? Maana daah bando zimekuwa ghali sana kwa sisi wananchi wanyonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
TTCL oyeeeeAcha kuhangaika, hamia TTCL kila siku nakwambia nyumbani kumenoga, huku mabando mpaka huwezi kuyamaliza. CCM oyeeee, Magufuli oyeee....
Nenda mtandao wa wanyonge TTCL au HalotelHiki ni kikwazo cha mawasiliano
2000, 3000 & 5000.. ndo zimepewa dhamana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ujanja wa biashara yaani Tigo wanaleta ujinga na Halotel wanatumia fursa hiyo kukamata wateja wanaohamaHata mimi tigo byebyeee. Itakua ya kupokea tu. Ngoja nitafute halotel