Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Bakini hukohuko, tukijazana huku halotel watapandisha tena bei ya vifurushi

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee bakini huko huko jamani ,msije halotel mtatuhalibia siye wenye kipato kidogo.kwani shida gani kulipia bando la 30k bwana ,tigo mbona wazuri tu,hata voda wako poa,mna lalamika nini jamani na hali mpo kwenye msafala wa raisi.

Halotel imesema wateja wake ilio nao wanatosha.Tuwe tunahurumiana,endeleeni kununua mb 200 kwa buku na hali mimi na pata gb 1 kwa buku hilo hilo na speed ni fire.Nilimskia jamaa mmoja akisema ikabidi nitafute halotel kwa kweli sijutii hadi leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tigo wametuona maboyana wanapata hela nyingi hivyo hawatuhitaji Tena.Uzuri mi Nina lines zote nimevuta ya TTCl bundle la chuo life inasonga
 
Habari za mida hii wakuu, hivi haya mabadiliko ya bando za Tigo ni kwangu tu au kwa watu wote? Maana daah bando zimekuwa ghali sana kwa sisi wananchi wanyonge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kubabae zao
Screenshot_20200125-124056.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom