if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,461
- 2,062
Aisee bakini huko huko jamani ,msije halotel mtatuhalibia siye wenye kipato kidogo.kwani shida gani kulipia bando la 30k bwana ,tigo mbona wazuri tu,hata voda wako poa,mna lalamika nini jamani na hali mpo kwenye msafala wa raisi.Bakini hukohuko, tukijazana huku halotel watapandisha tena bei ya vifurushi
Sent using Jamii Forums mobile app
Halotel imesema wateja wake ilio nao wanatosha.Tuwe tunahurumiana,endeleeni kununua mb 200 kwa buku na hali mimi na pata gb 1 kwa buku hilo hilo na speed ni fire.Nilimskia jamaa mmoja akisema ikabidi nitafute halotel kwa kweli sijutii hadi leo
Sent using Jamii Forums mobile app