NyokoAcha kuhangaika, hamia TTCL kila siku nakwambia nyumbani kumenoga, huku mabando mpaka huwezi kuyamaliza. CCM oyeeee, Magufuli oyeee....
sinajinasasa, sasa nikuite nani?
Ukitaka kui dedishaNilikuwa nina mpango wa kujiunga na TTCL, lakini wewe umenichefua kabisa! Bora niendelee kuumizwa na hawa tG!
Sent using Jamii Forums mobile app
Una GB5+GB15 Bonus kwa Siku30 @10000Tsh(VAT 1525.42Tsh thamani yake 8474.58Tsh).Piga*102*00# kuangalia salio
Nimejiunga kiroho safi tu, hampendi tigo nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawazidi Vodacom ?Unachosema ni kweli kabisa, tunafuata unafuu tu., japo hata ubora wa signal na huduma upo vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mademu zetu wengi wanatumia TigoSasa kama halotel 1500 unapata mb 1500 kwa wiki hivi huko kwenye hizo takataka nyingine mnafuata nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh kwa menu ipi?Sasa kama halotel 1500 unapata mb 1500 kwa wiki hivi huko kwenye hizo takataka nyingine mnafuata nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh hii ofa mbona ilishatolewa? Now wameacha 1 GB na dk 10 kwa buku
Kwa halopesa ila hiyo offer walishaitoa
Halotel wananvutia, nafkiria kati yao na TTCL.Sajili Line ya royal
Utapata dk 300 halo-halo
Dk 120 mitandao yote
Internet bila kikomo mwezi nzima
Na zikibaki wanaunga mwezi unaofuata
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona naona tigo ni cheap kuliko voda, voda najiunga bado la mwezi 30,000 napata dakika 600 GB 3 na sms kibao so nalazimika kunua data kivyake ila naona tigo 20,000 napata dakika 1,500 GB 7 na sms kibao!
Hii ni kwa chuo ama?Mpaka najiuliza hivi TTCL ni kampuni ya baba angu maana najiunga GB 1 wiki inaisha na MB zimebaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafala sana haya majamaa nmejiunga kifurush cha buku et yamenipa dakika 75 za kuongea kuanzia saa tano usiku mpaka saa kumi na moja alfajili kesho nanunua ttcl kesho