Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Mimi lain yangu ya Air tell na nimegoma kusajili sijui huko mnakokuita sijui kwa vidole

Mimi nadunda mwendo mdundo na elf moja gb 1 siku tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahiv wanataka mpka ununue kifurushi kwa njia ya Halopesa hawa nao ni wa dwanzi balaa ndo unapaya 1000>1GB kwa wiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Target yao ni kupata user wengi wa halopesa, kama ujuavyo asilimia kubwa watu wanaotumia halotel hutumia kwa ajili ya matumizi ya internet

Wao wame-targert idadi ya watu ambao wanahitaji kuwapata wakiona wametimia tu hutaliona hilo bando tena

Mfano tigo mwazoni mwa mwaka 2012 walikuja na ofa yao kabambe ili kupata vichwa vingi katika mtandao wake. Ulikua ukiweka buku unapata MB175 dakika 100 ambazo zitadumu kwa muda wa mwaka mzima

Lakini baada ya muda wakaanza figisu mara MB wamepunguza mara dakika wanepunguza na mwishowe kabisa wakakiweka kikawa cha siku. Yani kutoka kwenye kifurushi cha mwaka mpaka masaa 24 sio mchezo

It's Scars
 
Me naipenda Voda toka moyoni, sijali gharama ila nimeambiwa TTCL ni Baba laooo kwenye bundle za internet nafanya mchakato wa kusajili line
 
Screenshot_2020-01-26-13-02-01.png
 
Hivi ina maana tigo ukitaka kujiunga na sms unajiunga vipi Wakuu...!
 
Huku nilipo napata free WiFi tu kwa data. na calls ni mwendo wa VoIP.
 
Sasa wanakupa dakika zote hizo za kupiga usiku umpigie nani! Mara nyingi simu za usiku ni za dharura, huwa hatuongei sana, labda wanafunzi
Ndo mana nikasema huu mtandao waweke wazi kuwa ni wa wanafunzi
 
hawa Tigo wanapoelekea, ipo siku nitawaomba TIGO.
Tokea juzi sijaweka vocha kutokana na ushenzi walionifanyia
 
Back
Top Bottom