Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Chuo cha TFS labda watanzania tumezoea vitonga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuo cha TFS labda watanzania tumezoea vitonga
Target yao ni kupata user wengi wa halopesa, kama ujuavyo asilimia kubwa watu wanaotumia halotel hutumia kwa ajili ya matumizi ya internetSahiv wanataka mpka ununue kifurushi kwa njia ya Halopesa hawa nao ni wa dwanzi balaa ndo unapaya 1000>1GB kwa wiki
Sent using Jamii Forums mobile app
*148*30# chagua bandika banduakuipata hii inakuaje mkuu?
Mimi kwangu hiyo ya kwako tu Kwa 1000 napewa mb 250 Kwa saa 24Yes nakula 1GB kwa 10 days kwa 1000. *149*01# >>> 2 >>> 2
Nadhani inategemea na sehemu ulipo ndio utafaidi speed yake. Kuna sehemu ukiwa speed ni mwendo wa kobeMe naipenda Voda toka moyoni, sijali gharama ila nimeambiwa TTCL ni Baba laooo kwenye bundle za internet nafanya mchakato wa kusajili line
Voda mbona wanatoa 1GB kwa 1000 tena kwa siku 10
Ndo mana nikasema huu mtandao waweke wazi kuwa ni wa wanafunziSasa wanakupa dakika zote hizo za kupiga usiku umpigie nani! Mara nyingi simu za usiku ni za dharura, huwa hatuongei sana, labda wanafunzi