Malalamiko ya magari ya Mwendokasi kwenda kwa kasi Kariakoo bila kujali kuna idadi kubwa ya watu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mdau wa Jamii Forums ameandika malalamiko yake kuhusu mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam

Magari ya Mwendokasi yanapita kwa kasi kubwa sana hapa Kariakoo, na nature ya Kariakoo ni watu wengi ndani ya huu mwezi magari hayo yameua zaidi ya watu wanne hapa kwenye Barabara inayotumiwa na magari hayo.

Hawa madereva wa Mwendokasi hawathamini watu kabisa na hapa kuna population kubwa sana lakini hawa jamaa wanaoendesha hawana utu kabisa.

Jana moja ya magari yao limeua mama mjamzito na dereva hata hakushuka wala kusimama, aliendelea na safari zake.
 
Tz wafanyakazi wa umma
kama watumia bangi, akili hamna, kila mtu anataka kumtisha mwananchi
 
Leo ngoja niwatetee mwendokasi maana nimetoka kupita hiyo barabara ya msimbazi siku kama tatu nyuma.

Nilichoona ni kwamba;
1. Wananchi wanajivukia tu barabara bila kufuata vivuko maalum vya wavuka kwa miguu na watu wa mwendokasi walikuwa wakiheshimu sana hivyo vivuko.

2. Ifike mahali na sisi raia tuwajibike kwamba, ukivuka sehemu isiyo rasmi nasi watembea kwa miguu tukamatwe tupigwe faini japo 5,000/= tu.
 
Mdau wa Jamii Forums ameandika malalamiko yake kuhusu mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam

Magari ya Mwendokasi yanapita kwa kasi kubwa sana hapa Kariakoo, na nature ya Kariakoo ni watu wengi ndani ya huu mwezi magari hayo yameua zaidi ya watu wanne hapa kwenye Barabara inayotumiwa na magari hayo.

Hawa madereva wa Mwendokasi hawathamini watu kabisa na hapa kuna population kubwa sana lakini hawa jamaa wanaoendesha hawana utu kabisa.

Jana moja ya magari yao limeua mama mjamzito na dereva hata hakushuka wala kusimama, aliendelea na safaMri Kwa
Mdau wa Jamii Forums ameandika malalamiko yake kuhusu mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam

Magari ya Mwendokasi yanapita kwa kasi kubwa sana hapa Kariakoo, na nature ya Kariakoo ni watu wengi ndani ya huu mwezi magari hayo yameua zaidi ya watu wanne hapa kwenye Barabara inayotumiwa na magari hayo.

Hawa madereva wa Mwendokasi hawathamini watu kabisa na hapa kuna population kubwa sana lakini hawa jamaa wanaoendesha hawana utu kabisa.

Jana moja ya magari yao limeua mama mjamzito na dereva hata hakushuka wala kusimam

Mdau wa Jamii Forums ameandika malalamiko yake kuhusu mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam

Magari ya Mwendokasi yanapita kwa kasi kubwa sana hapa Kariakoo, na nature ya Kariakoo ni watu wengi ndani ya huu mwezi magari hayo yameua zaidi ya watu wanne hapa kwenye Barabara inayotumiwa na magari hayo.

Hawa madereva wa Mwendokasi hawathamini watu kabisa na hapa kuna population kubwa sana lakini hawa jamaa wanaoendesha hawana utu kabisa.

Jana moja ya magari yao limeua mama mjamzito na dereva hata hakushuka wala kusimama, aliendelea na safari zake.
Ifike wakati sasa tujue Dar es Salaam imeendelea sana ukilinganisha na miaka 20 iliyopita. Hivyo wageni wanapokuja Dar es Salaam wapewe semina na wanafamilia jinsi ya kutumia barabara za juu na chini na namna ya kuvuka maeneo ya barabara za Mwendokasi. Ni lazima tubadilike kulingana na mabadiliko ya nyakati!!
 
Msimbaz hapo raia wanatembea mpaka ndani ya barabara

Ova
 
Wamachinga nimeona wamerudi na wamejipanga njia ya watembea kwa moguu, kupelekea njia ya wapita kwa miguu kuwa finyu na kulazimu watu kutumia mpaka njia ya magari.
 
Mdau wa Jamii Forums ameandika malalamiko yake kuhusu mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam

Magari ya Mwendokasi yanapita kwa kasi kubwa sana hapa Kariakoo, na nature ya Kariakoo ni watu wengi ndani ya huu mwezi magari hayo yameua zaidi ya watu wanne hapa kwenye Barabara inayotumiwa na magari hayo.

Hawa madereva wa Mwendokasi hawathamini watu kabisa na hapa kuna population kubwa sana lakini hawa jamaa wanaoendesha hawana utu kabisa.

Jana moja ya magari yao limeua mama mjamzito na dereva hata hakushuka wala kusimama, aliendelea na safari zake.
Pole kwa aliyegongwa na kufariki:
Serikali ndiyo imewaruhusu wamachinga wapange biashara eneo la barabara;
CCM wanawatumia kama mtaji na wakipata kura kifo cha mtu mmoja kwao siyo issue.

Wananchi hamueleweki mnachotaka, Kipindi cha magufuli mlimshangilia alipowaambia wamachinga wapange biashara hata katikati ya barabara.
Wakaanza kuondolewa watu wakaandamana, sasa mnataka nini?
 
Back
Top Bottom