Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Tz wafanyakazi wa ummaMdau wa Jamii Forums ameandika malalamiko yake kuhusu mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam
Magari ya Mwendokasi yanapita kwa kasi kubwa sana hapa Kariakoo, na nature ya Kariakoo ni watu wengi ndani ya huu mwezi magari hayo yameua zaidi ya watu wanne hapa kwenye Barabara inayotumiwa na magari hayo.
Hawa madereva wa Mwendokasi hawathamini watu kabisa na hapa kuna population kubwa sana lakini hawa jamaa wanaoendesha hawana utu kabisa.
Jana moja ya magari yao limeua mama mjamzito na dereva hata hakushuka wala kusimama, aliendelea na safari zake.
Mdau wa Jamii Forums ameandika malalamiko yake kuhusu mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam

Jana moja ya magari yao limeua mama mjamzito na dereva hata hakushuka wala kusimama, aliendelea na safaMri Kwa
Mdau wa Jamii Forums ameandika malalamiko yake kuhusu mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam
Magari ya Mwendokasi yanapita kwa kasi kubwa sana hapa Kariakoo, na nature ya Kariakoo ni watu wengi ndani ya huu mwezi magari hayo yameua zaidi ya watu wanne hapa kwenye Barabara inayotumiwa na magari hayo.
Hawa madereva wa Mwendokasi hawathamini watu kabisa na hapa kuna population kubwa sana lakini hawa jamaa wanaoendesha hawana utu kabisa.
Jana moja ya magari yao limeua mama mjamzito na dereva hata hakushuka wala kusimam
Ifike wakati sasa tujue Dar es Salaam imeendelea sana ukilinganisha na miaka 20 iliyopita. Hivyo wageni wanapokuja Dar es Salaam wapewe semina na wanafamilia jinsi ya kutumia barabara za juu na chini na namna ya kuvuka maeneo ya barabara za Mwendokasi. Ni lazima tubadilike kulingana na mabadiliko ya nyakati!!Mdau wa Jamii Forums ameandika malalamiko yake kuhusu mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam
Magari ya Mwendokasi yanapita kwa kasi kubwa sana hapa Kariakoo, na nature ya Kariakoo ni watu wengi ndani ya huu mwezi magari hayo yameua zaidi ya watu wanne hapa kwenye Barabara inayotumiwa na magari hayo.
Hawa madereva wa Mwendokasi hawathamini watu kabisa na hapa kuna population kubwa sana lakini hawa jamaa wanaoendesha hawana utu kabisa.
Jana moja ya magari yao limeua mama mjamzito na dereva hata hakushuka wala kusimama, aliendelea na safari zake.
Wamachinga nimeona wamerudi na wamejipanga njia ya watembea kwa moguu, kupelekea njia ya wapita kwa miguu kuwa finyu na kulazimu watu kutumia mpaka njia ya magari.Msimbaz hapo raia wanatembea mpaka ndani ya barabara
Ova
Pole kwa aliyegongwa na kufariki:Mdau wa Jamii Forums ameandika malalamiko yake kuhusu mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam