Salary slip Kuna shida, baada ya kukuona uzi huu, deni la mwezi Mei na juni tofauti ni Sh.19 tu, licha ya salary slip kuonesha nimekatwa kama kawaida. In short mwezi huu nimekatwa sh.19 na takehome imebaki ileile kama ya mwezi Mei. Hivi Hazina imehamia Dodoma au ipo Dar?