Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Nnachojua ni kuwa watu wengi humu wanalalamika kukatwa bila deni kupunguaAwali ulianda nini??!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nnachojua ni kuwa watu wengi humu wanalalamika kukatwa bila deni kupunguaAwali ulianda nini??!!
Sasa unaniuliza salary slip zimefanyaje? Salary slip zina taarifa ya mishahara na makato yake!Nnachojua ni kuwa watu wengi humu wanalalamika kukatwa bila deni kupungua
Mheshimiwa mtukufu
Hivi ukitaka kufungua account ya bodi ukifika sehemu ya security code unatakiwa kujaza niniMimi imeongezeka laki 5 Ila kwenye statement ila kwenye slip iko vile vile
Hello Wadau!!
Tumekuwa na tatizo la upatikanaji wa Kilipia Mshahara (Salary Slip) kwa miezi kama miwili mfululizo
Hatimae mwezi June Salary Slip zinapatikana kwa mtandao
Nilichokiona ni kuongezeka kwa deni la Bodi ya Mikopo (HESLB) kwa zaidi ya 100%
Hiki kinanifanya nijiulize
Mosi, ni kwangu tu au na kwa wanufaika wengine?
Mbili, hivi bodi si walisema 6% ya rentation fee wameiondoa, sasa mbona deni limeongezeja kutoka milioni tatu mpaka milioni 6?
Tatu, hivi hizi sio pesa za dhuruma bodi inazikusanya kutoka kwa walipa kodi tena watumishi wa Umma?
Mwisho, wadau hivi ndio hasa vitu vinavyotufanya tuzichukie hata kazi tunazofanya za umma. Licha ya kuwa na mshahara mdogo taasisi inakuongezea deni mara mbili zaidi. Hivi sisi tumewakosea nini nyie Bodi???
Naombeni ushauri jamani lakini sio vibaya wanufaika wenzangu mnaokatwa na Bodi hebu angalieni kwenu
Nawasilisha
====
PIA, SOMA:
- Mrejesho: Bodi ya Mikopo(HESLB) yasema haihusiki na changamoto iliyojitokeza kwenye Salary slip mwezi Juni
Ulikua na mkopo wa bank?Bodi imenikata nikiwa 1/3 sina hamu nao kabisa
NdiyoUlikua na mkopo wa bank?