Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

Spika gani unaendesha mjadala wa kitaifa kwa upendeleo?. Shame on you Tulia. Mwisho wa siku serikali ikaenda kubadilisha vifungu na kuwaita akina Mrisho Mpoto Kuja kuzodoa watu. Spika wa hovyo kuwahi tokea Tanzania.
😆😆😆😆😆
 
Dhuluma hutengeneza chuki isiyo isha:

1.Tulia alitoa hukumu ya mita 200 kwenye kituo cha kupigia kura ,wananchi wasizisimamie kura zao!,baadae akazawadiwa ubunge wa kuteuliwa.
2.Viongozo wameendelea kushabikia dhuluma dhidi ya washindani katika uchaguzi(kupitisha na kutangaza watu wasio kubalika).
3.Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 dhuluma ya wazi ilifanyika(wananchi na washindani wakishuhudia).
4.Uchaguzi wa 2020 kwa matamko na vitendo dhuluma ilifanyika ya kuzuia wagombea halali kushiriki au kuporwa ushindi.
5.Baada ya uchaguzi 2015,Tulishuhudia watawala wakitumia nguvu kubwa kukandamiza uhuru wa raia kutekeleza majukumu ya kisiasa.

Sasa kwa kukandamiza na kudhulumu haki za wengine huzaa vidonda na chuki ya muda mrefu siku ikifumuka itakuwa kama mambo tunayo yaona kwa nchi jirani.

Watawala wajifunze kutenda haki,kama unaona huwezi jiondoe kimya kimya sio kukandamiza haki ya jamii kwa kutaka kulinda hadhi ya leo isiyo kubalika machoni pa wengi.
Rekebisha Tulia akiwa naibu mwanasheria mkuu aliongiza kushinda keshinda Kesi ya mita 200,Hajawahi kuwa hakimu
 
Hawakuwa watanzania bali ni kakaundi cha watu wachache wenye majeraha ya kupoteza ulaji mwaka 2020. Watanzania huwa hawana chuki ya namna hii huwa wanavumiliana na linapokuja swala la kitaifa huwa ni kitu kimoja.
Watanzania wa wapi hao unaowazungumzia!? Tanzania si moja tena na hayo ni matunda ya viongozi wenu.
 
Tulia asitake kuaminisha alipata upinzani mkali, watu kutoka nchi dhaifu waliogombea nae uspika wa IPU

the three other candidates on the ballot – Ms. Adji Diarra Mergane Kanouté of Senegal, Ms. Catherine Gotani Hara of Malawi and Ms. Marwa Abdibashir Hagi of Somalia – were all women MPs from Africa.

Sasa hapo kuna upinzani mkali? Jamani tusipende sifa kuonyesha eti Tulia kashinda kwa kupambana sana eti kapita kwa upinzani haswa, hao candidates hapo kuna ushindani wowote kwa wale wanaojua world politics?

Haya mambo ya kutafuta sifa mabaya sana
Upunzani mkali ni kutoka nchi gani?
 
Namshangaa huyo Tulia kama sio ujinga ni nini,kwamba yeye ni mgeni na Machadema ambao Huwa wanaombea Nchi ipate majanga Ili ccm eti ndio itaonekana Kushindwa hivyo watu watawachagua.

Kwamba Tulia hajui Chadema ni Kama Yang na Simba au?

Tulia ameonesha udhaifu mkubwa.Watu anapambana nao Jimboni,ana sera tofauti kwenye Bandari na mambo kama hayo eti anategemea Chadema wampiganie?

Tulia amewahi ona wapi Chadema wanapongeza jambo lolote la maendelea lililofanywa na Serikali?
Si kweli Chadema hawezi kumpambania CCM haijawahi tokea😁
 
Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).

Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.

Najivunia Ujasiri wangu huu.

View attachment 2798412
Kati ya watanzania na mwana Mbeya ambaye nilikuwa naomba sana Tulia ashindwe ni mimi.

Kwetu sisi wana Mbeya hakuna aliyekuwa anamuombea mema.

Tumemchoka sana kwa kuendeleza siasa za chuki.
 
Katiba ndio sheria mama so mtajavyoiandika ndio itakavyo pelekea kupunguza kwa rushwa. Katiba ikikaa kimya kuhusu rushwa basi rushwa itaendelea Kama Sasa.
Wala rushwa watakuja na njia zingine za kuitafuta, hiyo ni vita ya kudumu kati ya serikali na wenye nia mbaya na yale inayoyafanya.

Tukiwa na jamii iliyojaa wavivu, hakuna namna katiba itachangamsha miili yao mpaka wakajua nini faida za kuchapa kazi.
 
Spika gani unaendesha mjadala wa kitaifa kwa upendeleo?. Shame on you Tulia. Mwisho wa siku serikali ikaenda kubadilisha vifungu na kuwaita akina Mrisho Mpoto Kuja kuzodoa watu. Spika wa hovyo kuwahi tokea Tanzania.
Wabunge wa CCM ni wengi na wingi wao unakuwa na ushawishi ndani ya bunge, maamuzi yote yanafanyika kwa kupigwa kura halali.

Wapinzani wakiwa wengi kuna baadhi ya maamuzi hayatapitishwa kwa urahisi tu.

Mrisho Mpoto kualikwa sio suala la Spika. Ile ilikuwa shughuli ya rais ambaye ni mkubwa kicheo kumzidi Tulia.
 
Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).

Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.

Najivunia Ujasiri wangu huu.

View attachment 2798412
Bi 2ki-nao anajitahidi, apewe muda.
 
we unajulikana ulivyo mpumbavu, unashinda humu JF na mauzushi, upotoshaji, mauwongo, uzandiki, uchochezi, kupandikiza chuki. Ulihangaika sana kipindi cha DP World sasa mkataba umesainiwa. Kwanza unafanya kazi saa ngapi, pili naionea huruma tumbo lililokuzaa. Umekaa kichawi hupendi kuona mtu au nchi ifanikiwe ktk lolote. We ni mchawi tena mkubwa, ila watu km wewe huishia vibaya.
 
Back
Top Bottom