Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #81
πππππSpika gani unaendesha mjadala wa kitaifa kwa upendeleo?. Shame on you Tulia. Mwisho wa siku serikali ikaenda kubadilisha vifungu na kuwaita akina Mrisho Mpoto Kuja kuzodoa watu. Spika wa hovyo kuwahi tokea Tanzania.
Makonda umerudi, karibu tena.
Hueleweki kama unalia au unalalamika
Rekebisha Tulia akiwa naibu mwanasheria mkuu aliongiza kushinda keshinda Kesi ya mita 200,Hajawahi kuwa hakimuDhuluma hutengeneza chuki isiyo isha:
1.Tulia alitoa hukumu ya mita 200 kwenye kituo cha kupigia kura ,wananchi wasizisimamie kura zao!,baadae akazawadiwa ubunge wa kuteuliwa.
2.Viongozo wameendelea kushabikia dhuluma dhidi ya washindani katika uchaguzi(kupitisha na kutangaza watu wasio kubalika).
3.Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 dhuluma ya wazi ilifanyika(wananchi na washindani wakishuhudia).
4.Uchaguzi wa 2020 kwa matamko na vitendo dhuluma ilifanyika ya kuzuia wagombea halali kushiriki au kuporwa ushindi.
5.Baada ya uchaguzi 2015,Tulishuhudia watawala wakitumia nguvu kubwa kukandamiza uhuru wa raia kutekeleza majukumu ya kisiasa.
Sasa kwa kukandamiza na kudhulumu haki za wengine huzaa vidonda na chuki ya muda mrefu siku ikifumuka itakuwa kama mambo tunayo yaona kwa nchi jirani.
Watawala wajifunze kutenda haki,kama unaona huwezi jiondoe kimya kimya sio kukandamiza haki ya jamii kwa kutaka kulinda hadhi ya leo isiyo kubalika machoni pa wengi.
Watanzania wa wapi hao unaowazungumzia!? Tanzania si moja tena na hayo ni matunda ya viongozi wenu.Hawakuwa watanzania bali ni kakaundi cha watu wachache wenye majeraha ya kupoteza ulaji mwaka 2020. Watanzania huwa hawana chuki ya namna hii huwa wanavumiliana na linapokuja swala la kitaifa huwa ni kitu kimoja.
Upunzani mkali ni kutoka nchi gani?Tulia asitake kuaminisha alipata upinzani mkali, watu kutoka nchi dhaifu waliogombea nae uspika wa IPU
the three other candidates on the ballot β Ms. Adji Diarra Mergane KanoutΓ© of Senegal, Ms. Catherine Gotani Hara of Malawi and Ms. Marwa Abdibashir Hagi of Somalia β were all women MPs from Africa.
Sasa hapo kuna upinzani mkali? Jamani tusipende sifa kuonyesha eti Tulia kashinda kwa kupambana sana eti kapita kwa upinzani haswa, hao candidates hapo kuna ushindani wowote kwa wale wanaojua world politics?
Haya mambo ya kutafuta sifa mabaya sana
ni sehemu gani imejitenga?Watanzania wa wapi hao unaowazungumzia!? Tanzania si moja tena na hayo ni matunda ya viongozi wenu.
Natani sana hapo Ili tuunde Taifa jipya tenaHuu mgawanyiko wa Watanzania usipoangaliwa unaweza kutuingiza kwenye Vita vya sisi kwa sisi.
Si kweli Chadema hawezi kumpambania CCM haijawahi tokeaπ
Bogus ni Machadema ila tuu yeye katoa Boko Mpya ni kama mgeni na siasa za Bongo.Kwa haya uliosema kweli naamini Tulia ni kilaza na bogus.
Kati ya watanzania na mwana Mbeya ambaye nilikuwa naomba sana Tulia ashindwe ni mimi.Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).
Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.
Najivunia Ujasiri wangu huu.
View attachment 2798412
Mkuu katika ccm neno kujitafakari halipo kabisa kwa sasaHuyo Bi Mkora ajitafakari sana!
Huyo ndiye mrembo wa KyelaSasa huyu Bi. Cheusi naye kiongozi?
Hatumpendi kabisaHuu mgawanyiko wa Watanzania usipoangaliwa unaweza kutuingiza kwenye Vita vya sisi kwa sisi.
Wala rushwa watakuja na njia zingine za kuitafuta, hiyo ni vita ya kudumu kati ya serikali na wenye nia mbaya na yale inayoyafanya.Katiba ndio sheria mama so mtajavyoiandika ndio itakavyo pelekea kupunguza kwa rushwa. Katiba ikikaa kimya kuhusu rushwa basi rushwa itaendelea Kama Sasa.
Wabunge wa CCM ni wengi na wingi wao unakuwa na ushawishi ndani ya bunge, maamuzi yote yanafanyika kwa kupigwa kura halali.Spika gani unaendesha mjadala wa kitaifa kwa upendeleo?. Shame on you Tulia. Mwisho wa siku serikali ikaenda kubadilisha vifungu na kuwaita akina Mrisho Mpoto Kuja kuzodoa watu. Spika wa hovyo kuwahi tokea Tanzania.
Hata CCM ikiondoka leo hii, bado tuna hulka za chuki na roho mbaya.CCM ikiongoza kwa chuki
Bi 2ki-nao anajitahidi, apewe muda.Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).
Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.
Najivunia Ujasiri wangu huu.
View attachment 2798412
we unajulikana ulivyo mpumbavu, unashinda humu JF na mauzushi, upotoshaji, mauwongo, uzandiki, uchochezi, kupandikiza chuki. Ulihangaika sana kipindi cha DP World sasa mkataba umesainiwa. Kwanza unafanya kazi saa ngapi, pili naionea huruma tumbo lililokuzaa. Umekaa kichawi hupendi kuona mtu au nchi ifanikiwe ktk lolote. We ni mchawi tena mkubwa, ila watu km wewe huishia vibaya.Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).
Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.
Najivunia Ujasiri wangu huu.
View attachment 2798412
asilimia zaidi ya 92 ni tundu la sindano. tumieni akili kufikiri siyo hayo makalio yenuKama mwenyewe amekiri kuponea tundu la sindano wewe unabisha nini?