Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Hizi ni propaganda ili TTCL itake over
 
Nadhani inabidi itafutwe root cause ya haya matatizo maana mitandao karibu yote yamepandisha gharama kasoro ttcl. Na kuna uwezekano ttcl wakawa wanamkono wao ama lah! Maana ttcl ndiye anayewauzia bundle za mawasiliano kampuni zote za mawasiliano na yeye ndiye anahusika na mkongo wa taifa.
 
Voda nao wamekua na huo mfumo Kama mtu anadaiwa Nipige Tafu, hata ukinunua kifurush kwa Mpesa wanakata hiyo pesa juu kwa juu. Nawakubali halotel hata Kama una deni na uweke vocha hawaikati mda huo huo.
Sasa kama hamlipi unataka wafanyeje? Kukopa harusi kulipa matanga.
Na voda leo wamenitumia msg kuwa watafanya mabadiliko ya vifurushi vyao, bila shaka wanapandisha kama tigo. Tutaisoma namba niko Airtel Wakibadilisha nao itabidi nitafute mtandao mwingine maana natumia sana internet
 
Hivi watu wa tiGo wapo wanatuchora wanapiga screenshort wana wanatuma kwa maboss wao jins tunavyolalama?..Au wapo wanatukejeli tu
 
Karibu halotel, ukijaribu mtandao wa kizalendo ndio utajuta zaidi Bora huu wa wavietnam
Nishaingia halotel lkn washaanza kuzngua nimeweka voucher ya book sjaunga package wamekata hamsini imebaki mia tisa hamsini daah
Nikaaza kujisemea moyon hii ndo yule ng'ombe wa maskin kumbe hazai kweli....
 
Wandugu Ginehe/Habari za jioni?

Tigo tigo tigooo๐Ÿ‘‰๐ŸฟHuu mtandao ni wa kipumbavu scjapata kuona. Mwanzo kabisa niliupenda munoo kutokana na bundles na madakika mengi, for now wanachotufanyia sio kabisa. tunaibiwa ndugu zanguni nasi 2naangalia tu, wizi wa wazi huu and most of them mumekaa kimyaa hata kulalamika hakuna kana kwamba mumekubali. Siku za nyuma bando la wiki lilikuwa GB 2 na madakika kwa shilingi 3000/=,, hawakukaa muda wakakata GB 1 zikabak GB 1, haikukaa muda wakapunguza na kufikia (MB512, dakika 100 na 50 za longanae) ๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰


Hivi karibuni naupiga teke huu mtandao, badala yake najiunga mb na madakika kupitia mutandao mwingine.



Bando la wikiโ˜๐Ÿฟ๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก


Bando la mwezi bila dakika ๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜กโ˜๐Ÿฟ



Bando la wiki bila dakikaโ˜๐Ÿฟ


Bando la mwezi โ˜๐Ÿฟ๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก


Kujionea zaidi ingia apa *148*00# or *147*00#


Tigo Tanzania
 
Tigo ni kizaazaa tu sasa hivi wanatumaliza kudadeki,huku twajiona suluhisho ni kuuhama tu huu mtandao pumbavu zao kabisa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ