Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Tigo nilishaachana nao kitambo Mimi na halotel halotel na Mimi ,TTCL wamenishawishi lile bando la siku 5 buku gb 1.2 ,dakika 10 all network na sms 50 angalau kidogo inasaidia
 
wamepunguza MB kwwnye vifurushi vya internet,, mm huwa na nunua vya mwezi GB za kutosha ila jana wamepunguza nimewahama! sirudii tena kwao.
Kumbe na wewe umeamua kuwapa talaka ya moja kwa moja basi tupo wengi tuliondoka nina washikaji kadhaa nao jana wamepiga chini line za TIGO
 
Nimewaza comment aliyoandika huyo mdau, hata sikujua jibu gani anastahili, hili la kwako limetoka kiungwana sana, unastahili heshima.
Hawa nao inabidi tuishi nao kwa akili hawatakusumbua kichwa ukiwaelewa.....mkuu
 
Wasafi na tigo tumewasha wanawekea bodaboda mafuta ndio kuminya wateja. Mimi mteja wao namba 1 ila wana anza nikera.
 
Wasafi na tigo tumewasha wanawekea bodaboda mafuta ndio kuminya wateja. Mimi mteja wao namba 1 ila wana anza nikera.
Pole tumeumia wengi japo tuliwapenda lkn ndo ivo sasa tumeamua kutua gunia la misumari...!
 
Halafu kile cha wiki cha 3000 wamepunguza bando mpaka Mb 500[emoji23][emoji23][emoji23] (kutoka Gb 1)

Asee, tunahamia wapi sijui! Halotel!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…