konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
Kweli wewe punguwani. Data ni anasa? Dah! unahasara kinyama mkuu. Yaani hata hujui kuna watu wanafanya kazi kwa kutumia internet? Hakuna ofisi yeyote isiyotumia data.Iko hivi, data ni anasa, huwezani nazo achana nazo sio unakuja kulia lia hapa.
Kama 3,000 ya data inakuliza, utaweza kweli kuhoji akili yangu mimi?
Kuanzia kuwasiliana na wateja, kutafuta tender na mambo chungu nzima. Okay fanya hivi, kwa huo upeo wako nakuomba jiendeleze kielimu, unatia aibu.