Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Tupa halafu uhamie Voda ndipo utakaporudi kuanza kuitafuta hiyo laini uliyoitupa.
Voda niliwahi waweka pembeni nikawa mpokeaji tu, nilikuwa nikinunua kifurushi baada ya wiki 2 wanaongeza bei nikavumilia mara 2 kifurushi juu tena [emoji24][emoji24] nikatulia mpaka waliporudi kunijulisha wameshusha wezi kabisa !
 
Airtel ndio mambo yote.. Tigo wanawanyonya sana wananchi, TCRA sijui hawaoni haya.. Yaani 10,000 upate 2.5 GB, kutoka 7 GB, huu ni uwizi wa wazi.. TCRA lazima wawape adhabu kali tigo
Adhabu ipi wakati boss wa TCRA anakunja kibahasha chake cha kubrashia viatu 😂
 
Nyie mnaolalama humu kaeni huko huko msituletee jam halotel. Bando linatutosha wenyewe tumeenea.
Hahahah ni swala la muda tu kama hujajua wanachofanya hao jamaa kwenye riadha kinaitwa "RELAY" utarudi kulia lia hapa kabla mwezi wa pili kuisha kuwa halotel wamepandisha vifurushi
 
Halotel wapo vizuri kwa vifurushi ila sasa ubaya wao hawajaenea sehemu nyingi.Yaani nilipewa kamisheni ya gb 10 + madakika kibao mwez mzima nikapata safari ya ghafla kwenda bush yaani zilifia bure tu mtandao ulikua unasoma E damn it.
 
Hao jamaa internet coverage inafika mpaka huko Dar es Salaam vijijini tunapoka watu kama sisi? Maana niliitupa sim card ya TTCL sababu ilikua ili nipate mtandao lazima nipande juu ya mnazi
a
Hamia Zantel halafu utakuja kufuta hii comment yako hapa.
 
Hao jamaa internet coverage inafika mpaka huko dar es salaam vijijini tunapoka watu kama sisi?maana niliitupa sim card ya ttcl sababu ilikua ili nipate mtandao lazima nipande juu ya mnazi
Hahahahah inafika bana we.. TTCL tatizo lao ni kama tulivyosoma form 2!
-Poor infrastructures
 
Zantel niliwahi kutumia muda sana, nitaitafuta sasa [emoji23] kuna line nyingine tunazitumia kama simu ya mezani basi
Hahahah tigo nili wa isolate mwisho wakaamua na ku deactivate line yangu kabisa.

Ukirudisha hewani unaweza kujuta kwanini hukuwa nayo sikuzote hizo.
 
Serikali ikiingilia mtaanza tena kulalamika kuwa serikali inaminya wawekezaji, waache soko huria liamue.
Shida ya wabongo ni ujuaji snaa, serikali ikiingilia Bei ya cement, badala yake watu mkaanza kutukana na kuilaumu kwa nini serikali inaingilia.
Serikali naona wapige kimya tu ,asiye na uwezo na bundle basi asitumie. Wenye uwezo watumie
Tena natamani bundle lifikehadi 50000 kwa gb 1
 
Hahahah ni swala la muda tu kama hujajua wanachofanya hao jamaa kwenye riadha kinaitwa "RELAY" utarudi kulia lia hapa kabla mwezi wa pili kuisha kuwa halotel wamepandisha vifurushi
Basi naona Zantel wako stable nitajiongeza ila huku halotel nimejichimbia kama nungu nungu
 
Hahahah tigo nili wa isolate mwisho wakaamua na ku deactivate line yangu kabisa.

Ukirudisha hewani unaweza kujuta kwanini hukuwa nayo sikuzote hizo.
Haa haa yaani waliniongezea nikavumilia kabisa nanunua.tena wiki iliofuata ikagoma kucheki wameongeza daa nikawaacha mpaka waliporudi na akili yakueleweka nishaenda mpaka ofisini kwao[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom