Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahhahah hawaelewi hao mpaka maskio yatoke damu.😂😂😂😂😂😂😂hawajui factor za majimaji,mau mau,mfekane etc bado zimetuganda hadi leo hasa hili li taxation
Voda niliwahi waweka pembeni nikawa mpokeaji tu, nilikuwa nikinunua kifurushi baada ya wiki 2 wanaongeza bei nikavumilia mara 2 kifurushi juu tena [emoji24][emoji24] nikatulia mpaka waliporudi kunijulisha wameshusha wezi kabisa !Tupa halafu uhamie Voda ndipo utakaporudi kuanza kuitafuta hiyo laini uliyoitupa.
Adhabu ipi wakati boss wa TCRA anakunja kibahasha chake cha kubrashia viatu 😂Airtel ndio mambo yote.. Tigo wanawanyonya sana wananchi, TCRA sijui hawaoni haya.. Yaani 10,000 upate 2.5 GB, kutoka 7 GB, huu ni uwizi wa wazi.. TCRA lazima wawape adhabu kali tigo
Vipi Halotel huko? Kifurushi cha wiki chenye sms,Dakika, MB?Nyie mnaolalama humu kaeni huko huko msituletee jam halotel. Bando linatutosha wenyewe tumeenea.
Hahahah ni swala la muda tu kama hujajua wanachofanya hao jamaa kwenye riadha kinaitwa "RELAY" utarudi kulia lia hapa kabla mwezi wa pili kuisha kuwa halotel wamepandisha vifurushiNyie mnaolalama humu kaeni huko huko msituletee jam halotel. Bando linatutosha wenyewe tumeenea.
a
Hamia Zantel halafu utakuja kufuta hii comment yako hapa.
Hahahahah inafika bana we.. TTCL tatizo lao ni kama tulivyosoma form 2!Hao jamaa internet coverage inafika mpaka huko dar es salaam vijijini tunapoka watu kama sisi?maana niliitupa sim card ya ttcl sababu ilikua ili nipate mtandao lazima nipande juu ya mnazi
Hahahah tigo nili wa isolate mwisho wakaamua na ku deactivate line yangu kabisa.Zantel niliwahi kutumia muda sana, nitaitafuta sasa [emoji23] kuna line nyingine tunazitumia kama simu ya mezani basi
Basi naona Zantel wako stable nitajiongeza ila huku halotel nimejichimbia kama nungu nunguHahahah ni swala la muda tu kama hujajua wanachofanya hao jamaa kwenye riadha kinaitwa "RELAY" utarudi kulia lia hapa kabla mwezi wa pili kuisha kuwa halotel wamepandisha vifurushi
Haa haa yaani waliniongezea nikavumilia kabisa nanunua.tena wiki iliofuata ikagoma kucheki wameongeza daa nikawaacha mpaka waliporudi na akili yakueleweka nishaenda mpaka ofisini kwao[emoji23][emoji23]Hahahah tigo nili wa isolate mwisho wakaamua na ku deactivate line yangu kabisa.
Ukirudisha hewani unaweza kujuta kwanini hukuwa nayo sikuzote hizo.
Njoo Zantel nikubembeleze nina dakika kama 9000 hiviTigo hawanipati tena,chakufia nini mtoto wa watu