Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Nileteeni Gwajimaniretee gwajimaaa
Njoo Halotel
Nileteeni Tulia, Nitatulia
Huyu Daniel Hajui Kujieleza Ni Darasa La Saba
Ila Kwenye Matatizo Yenu Atawatetea Kule Bungeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nileteeni Gwajimaniretee gwajimaaa
Njoo Halotel
Kuna mwizi mwingine anakuheshimu...anakuibia usiku ukiwa umechoka, umelala, Tigo wanakuibia Mchana kweupe kabisa yani!!
Wasio na network nzuri wanatoa ofa kabambeNimeona niandike hili juu ya wizi wa kampuni ya (TIGO) kwenye vifurushi vyao, haijarishi ni kifurushi cha dakika au ni cha sms au internet,
Wamekuwa wakipandisha vifurushi vyao bila kujali hali halisi ya maisha tuliyonayo....
Mkuu hiyo ya voda ndo ilikuwa mkombozi wangu ila huku niliko wameitoa...nimerudi halotel..Vodacom
Kwa elfu moja, napata GB 1, dk 100 (mitandao yote) na sms za kutosha kwa siku 3
Nikija Halotel
Kwa elfu moja, napata GB , dk10 na vi sms vya kutosha kwa siku 7
Chaguo ni lako mkuu, fanya uchaguzi sahihi.
Wakimwagiwa mboga wanatumwagia ugali.Unasema uongo ndugu yetu! Si wafunge kampuni[emoji3][emoji3]
Voda nao pia wamepandisha.
Hivi wanapandisha gharama zao kwa kila mteja wao au ni baadhi ya wateja? Unaweza kuta sio wateja wote, lkn kwa hili nina ushaidi wa wateja wao kibao wamepiga line chini na kuhamia kwingine....Tigo wanamchezo mchafu sana kwan wanaangalia matumizi, wakiona unanunua sana wanapandisha gharama. Yaani MB 300 kwa 1000 wapuuzi sana tigo
Nimeona niandike hili juu ya wizi wa kampuni ya (TIGO) kwenye vifurushi vyao, haijarishi ni kifurushi cha dakika au ni cha sms au internet...
Uko vizuri sana,Huko kwenu mtandao wa Halotel unashika?