Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,966
Habari wadau.
Niende moja kwa moja kwenye hoja. Kuna kikundi Cha porters (wabeba mizigo) Kiko Arusha Airport, Wanawabebea wageni mabegi kama msaada saa wakishushwa na magari kuwasogezea kwenye deputure lounge si zaidi ya mita tatu hadi tano umbali. Kinachotokea baada ya hapo ni kudaiwa pesa kwa nguvu. Jamaa atamsimamia mgeni hapo pembeni mpaka mgeni aone kero aulize Ndio aambiwe unadaiwa pesa.
Wageni wamelalamikia sana jambo hili lakini Manager wa uwanja ameweka pamba masikioni
Wageni wameandika jambo hili mtandaoni Serikali imekaa kimya.
Ni kweli kwamba jamaa wanapekeka hesabu kwa wenye mamlaka kama vile taxi drivers wanavyopeleka hesabu kwa mabosi wao lakini kwa hili mbona halijakaa vizuri?
Ni aibu sana Tunaharibu sifa ya nchi kwa njaa ndogo ndogo, Kwani wewe security officer si unalipwa mshahara? Wewe Manager si unalipwa tena donge nono? Wachane kuchafua sifa ya uwanja ambao Sasa wageni wanausifia kwa usafi na vyoo vizuri sana.
Serikalini iangalie wageni jinsi wanalalamikia Arusha Airport kwa huduma mbaya. Especially Hawa mapota wa nje huku wanaobebea wageni mabegi kibabe.
More details check Arusha Airport reviews.