Habari wadau.
Niende moja kwa moja kwenye hoja. Kuna kikundi Cha porters (wabeba mizigo) Kiko Arusha Airport, Wanawabebea wageni mabegi kama msaada saa wakishushwa na magari kuwasogezea kwenye deputure lounge si zaidi ya mita tatu hadi tano umbali. Kinachotokea baada ya hapo ni kudaiwa pesa kwa nguvu. Jamaa atamsimamia mgeni hapo pembeni mpaka mgeni aone kero aulize Ndio aambiwe unadaiwa pesa.
Wageni wamelalamikia sana jambo hili lakini Manager wa uwanja ameweka pamba masikioni
Wageni wameandika jambo hili mtandaoni Serikali imekaa kimya.
Ni kweli kwamba jamaa wanapekeka hesabu kwa wenye mamlaka kama vile taxi drivers wanavyopeleka hesabu kwa mabosi wao lakini kwa hili mbona halijakaa vizuri???
Ni aibu sana Tunaharibu sifa ya nchi kwa njaa ndogo ndogo, Kwani wewe security officer si unalipwa mshahara? Wewe Manager si unalipwa tena donge nono? Wachane kuchafua sifa ya uwanja ambao Sasa wageni wanausifia kwa usafi na vyoo vizuri sana.
Serikalini iangalie wageni jinsi wanalalamikia Arusha Airport kwa huduma mbaya. Especially Hawa mapota wa nje huku wanaobebea wageni mabegi kibabe.
More details check Arusha Airport reviews.

NAMIM NGOJA NISIPEPESE MACHO. Wala nisifiche jina kwani ukweli haufichwi. NIJUAVYO MIMI kama niliyekuwepo Kiwanja hapo na niliyeshiriki wakati malalamiko yanatolewa na wageni, NIKWELI KIKUNDI KIPO KAMA KULIVYO NA KIKUNDI CHA WAKATA MAJANI, MADREVA, NA CHA VIJANA WA KAZI. ILA KIKUNDI HIKI CHA WABEBA MIZIGO KIMEPOTOSHWA KWA ASILIMIA 98 YA YOTE YALIYOELEZEA.
UKWELI NI KWAMBA HUYU MPOTOSHAJINI DREVA NA ANATETEA MASLAHI YAKE NA SIO YA MTALII.
TOKEA UKARABATI WA KIWANJA UMEANZA, KUMEKUWA NA MVUTANO BAINA YA MADREVA TAXI NA DREVA TOURS KWA UPANDE MMOJA, DHIDI YA KIKUNDI HIKI.
NASHUKURU KUNA AMBAO WAMESHA KUJIBU, MI NACHOFANYA NAWEKA USHAHIDI TU.
Kwaasa sipo. Ila nimewahi fanya KAZI Arusha airport Kwa muda, na utendaji wa Viongozi wa TAA Arusha Umekuwa intact na MATARAJIO ya wageni. Namin aliyetoa post hii ananifaham, hata nikiandika jina moja tu.
Kiwanja Cha ndege Cha Arusha kimekuwa ktk matengenezo, na wakati kikundi HIKI kinaanzishwa manager alipokea malalamiko ya muda mrefu toka Kwa wadau na watalii kuwa KUTOKANA na matengenezo hayo yaliyopelekea baadhi ya mageti kutotumika, wageni wanatembea umbali mrefu na mabegi, kitendo kinachopelekea MADREVA TAXI na tours wanawadai ela za kubeba mizigo nje ya bajeti zao. Tena waliwadai Hadi Dola 5 Kwa beg.
BAADA ya malalamiko kuwa mengi, Meneja aliwaita wadau wote, MAMLAKA zote na vikundi vyote. Wakatoa maoni kuwa nikweli wageni wanalalamika kuwa umbali wakubeba mabeg Umekuwa mkubwa na wanadaiwa ela kubwa ya kubeba mabeg na MADREVA wanao waleta.
Ikapeneekezwa wawepo kikundi maalum, kisixhozidi watu 5 wapewe reflectors na vitambulisho vya muda, wasaidie wagen kutatua kero hiyo Kwa mgeni ATAKAYE TAKA KUBEBEWA MZIGO, na WASIMDAI MGENI ZAIDI YA DOLA MOJA. NA DREVA ANAPOMSHUSH MGENI HARUHUSIWI KUMBEBEA MIZIGO. KTK KIKAO HICHO HATA BAADHI YA WATUMISHI WALIOKUWA WAKIBEBA MABEGI WALIPIGWA MARUFUKI KALI, NA HAWAKURUDIA.
UAMUZI HUU HAUKUWAFURAHISHA MADREVA NA SIKU ZOTE WALIWACHUKULIA VIJANA HAWA KAMA WAMEWANYANGANYA TONGE MDOMONI, LAKINI SIKU ZOTE WAKAWA NDIO WANAOLALAMIKA KWA SECURITY NA SIO WAGENI KAMA WALIVYOTUMIWA KTK POST.
UONGOZI ULIENDELEA KUWASISITIZA KUWA KWAKUWA VIJANA HAO WAPO KWA MUDA KIPINDI KIWANJA KINAKARABATIWA WAJARIBU KUWA WAVUMILIVU, UONGOZI UFANYIE KAZI MALALAMIKO YA WAGENI NA SIO MALALAMIKO YA MADREVA WANAOONA WAMEPOTEZEWA KIPATO. BAADA YA UKARABATI KUKAMILIKA, NA UMBALI WA KUBEBA BEG KUPUNGUA, HALI ITARUDI KAMA ILIVYOKUWA AWALI.
MADREVA HAWA WANAFAHAM KUWA KIKUNDI HICHO NI CHAMUDA NDOMANA WAMESUBIRI UKARABATI SASA UNAELEKEA UKINGONI NDIPO WAMETOA POST HII.
WAKO SAWA KAMA SHIDA YAO NIKUHITAJI HALI IRUDI KAMA AWALI SAWASAWA NA MAJIBU YA UONGOZI WA KIWANJA. ILA WANAKOSEA KUCHAGUA UONGOZI ULIOPANBANA KUHAKIKISHA HALI IPO KAMA ILIVYO SASA.
KAMA UTARATIBU HAUJABADIRIKA, MENEJA WANAYE MSEMA VIBAYA, WAMESAHAU KUWA AMEYAVUMILIA PIA MALALAMIKO YA WADAU KUWA MADREVA WANAZUIA MWENYE TAXI MWINGINE ASILETE GARI YAKE AIRPORT KUJIOATIA RIZKI ZAIDI YA WAO? JE NAO KAWAWEKA MENEJA HUYU?
TETEA CHAKO ILA USIHARIBU WALA KUCHAFUA SIFA YA ALIYE MSAFI KWA MASLAHI YAKO. KWA KIPINDI NIMEKUWEPO, SIKUWAHI ONA MENEJA MSKIVU, MCHAPA KAZI, NA MKARIMU, NA LILIKUWA KIPINDI AMBACHO KIWANJA HICHO KINAPAMBANIWA KIPATR ISO IDENTIFICATION, NA KIKAFANIKIWA CHINI YAKE. ALIKUWA MSTARI WA MBELE KUYAFIKISHA MAFANIKIO YA KIWANJA KWANIABA YA DG NA MAMLAKA. ACHENI KUENDEKEZA NJAA KUCHAFUA WATU.
NIJUAVYO MIMI, TOKEA UKARABATI UMEANZA NA WAGENI KULALAMIKIA MADREVA, KIKAO KIKAFANYIKA PALE ARRIVAL, MADREVA HAWAKUOENDA MAZIMIO, NI KUWA HAYA MALALAMIKO C YA WAGENI, NI YA KIMASLAHI BAINA YA MADREVA WALIOKUWA WANADAI DOLA 5 KWA BEG NA VIJANA HAWA WANAO DAI DOLA MOJA KWA MGENI BILA KUJALI ANAMABEGI MANGAPI.
Basila M.