DOKEZO Malalamiko ya watalii Arusha Airport wizara husika iamke usingizini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hujaelewa mkuu ni mita 3 hadi 5.
Najua unafahamu kuwa airpot taxi inakushusha umbali mfupi kuingia departure na eneo la ukaguzi
Nenda ata mbezi au stendi yoyote ya mabasi... alafu achukue mzigo wako kutoka ktk basi mpaka eneo la ukaguzi /getini uone kama hato kudai

Au boda uende nae umbali mfupi uone nini kitatokea
 
NAMIM NGOJA NISIPEPESE MACHO. Wala nisifiche jina kwani ukweli haufichwi. NIJUAVYO MIMI kama niliyekuwepo Kiwanja hapo na niliyeshiriki wakati malalamiko yanatolewa na wageni, NIKWELI KIKUNDI KIPO KAMA KULIVYO NA KIKUNDI CHA WAKATA MAJANI, MADREVA, NA CHA VIJANA WA KAZI. ILA KIKUNDI HIKI CHA WABEBA MIZIGO KIMEPOTOSHWA KWA ASILIMIA 98 YA YOTE YALIYOELEZEA.

UKWELI NI KWAMBA HUYU MPOTOSHAJINI DREVA NA ANATETEA MASLAHI YAKE NA SIO YA MTALII.

TOKEA UKARABATI WA KIWANJA UMEANZA, KUMEKUWA NA MVUTANO BAINA YA MADREVA TAXI NA DREVA TOURS KWA UPANDE MMOJA, DHIDI YA KIKUNDI HIKI Kwa upande mwingine.

NASHUKURU Stroke na wengine WAMEGUSIA UOANDE WAPILI WAHOJA MI NACHOFANYA NAWEKA USHAHIDI TU.

Kwaasa sipo. Ila nimewahi fanya KAZI Arusha airport Kwa muda, na utendaji wa Viongozi wa TAA Arusha Umekuwa intact na MATARAJIO ya wageni. Namin aliyetoa post hii ananifaham, hata nikiandika jina moja tu.

Kiwanja Cha ndege Cha Arusha kimekuwa ktk matengenezo, na wakati kikundi HIKI kinaanzishwa manager alipokea malalamiko ya muda mrefu toka Kwa wadau na watalii kuwa KUTOKANA na matengenezo hayo yaliyopelekea baadhi ya mageti kutotumika, wageni wanatembea umbali mrefu na mabegi, kitendo kinachopelekea MADREVA TAXI na tours wanawadai kiasi kikubwa Cha pesa za kubeba mizigo Kwa beg moja nje ya bajeti zao kwani waliwadai Hadi Dola 5 Kwa beg.

BAADA ya malalamiko kuwa mengi, Meneja aliwaita wadau wote, MAMLAKA zote na vikundi vyote. Wakatoa maoni kuwa nikweli wageni wanalalamika kuwa umbali wakubeba mabeg Umekuwa mkubwa na wanadaiwa ela kubwa ya kubeba mabeg na MADREVA wanao waleta.

Ikapeneekezwa wawepo kikundi maalum, kisichozidi watu 5 wapewe reflectors na vitambulisho vya muda, wasaidie wagen kutatua kero hiyo Kwa mgeni ATAKAYE TAKA KUBEBEWA MZIGO, na WASIMDAI MGENI ZAIDI YA DOLA MOJA. NA KWAKUWA MADREVA NDIO WALIOLALAMIKIWA, BASI DREVA ANAPOMSHUSHA MGENI HARUHUSIWI KUMBEBEA MIZIGO YAKE. KTK KIKAO HICHO HATA BAADHI YA WATUMISHI WALIOKUWA WAKIBEBA MABEGI WALIPIGWA MARUFUKI KALI, NA HAWAKURUDIA.

UAMUZI HUU HAUKUWAFURAHISHA MADREVA NA SIKU ZOTE WALIWACHUKULIA VIJANA HAWA KAMA WAMEWANYANGANYA TONGE MDOMONI, LAKINI SIKU ZOTE WAKAWA NDIO WANAOLALAMIKA KWA SECURITY NA SIO WAGENI KAMA WALIVYOTUMIWA KTK POST.

UONGOZI ULIENDELEA KUWASISITIZA KUWA KWAKUWA VIJANA HAO WAPO KWA MUDA KIPINDI KIWANJA KINAKARABATIWA WAJARIBU KUWA WAVUMILIVU, UONGOZI UFANYIE KAZI MALALAMIKO YA WAGENI NA SIO MALALAMIKO YA MADREVA WANAOONA WAMEPOTEZEWA KIPATO. BAADA YA UKARABATI KUKAMILIKA, NA UMBALI WA KUBEBA BEG KUPUNGUA, HALI ITARUDI KAMA ILIVYOKUWA AWALI, AU KAMA KITAKUWA NA MABADIRIKO MAPYAYAKIWEMO KUONDOA KABISA MGENI KUBEBEWA MZIGO, BASI WATAELEZWA

MADREVA HAWA WANAFAHAM KUWA KIKUNDI HICHO NI CHAMUDA NDOMANA WAMESUBIRI UKARABATI SASA UNAELEKEA UKINGONI NDIPO WAMETOA POST HII KAMA KU PRE EMPTY , LAKINI C KWELI KUNA KITU KAMA MALALAMIKO YA WAGEN ISIPOKUWA YALIYOLETWA DHIDI YAO MADREVA.

MADREVA HAWA WANAWEZA KUWA SAWA KAMA SHIDA YAO NIKUHITAJI HALI IRUDI KAMA AWALI SAWASAWA NA MAJIBU YA UONGOZI WA KIWANJA. ILA WANAKOSEA KUCHAFUA UONGOZI ULIOPANBANA KUHAKIKISHA HALI IPO KAMA ILIVYO SASA, NA IKIZINGATIWA KUWA HAWA A UHAKIKA KAMA WATARUHUSIWA NAO KUBEBA BIZIGO IWAPO UKARABATI UKAKAMILIKA.

KAMA UTARATIBU HAUJABADIRIKA, MENEJA WANAYE MSEMA VIBAYA, WAMESAHAU KUWA AMEYAVUMILIA PIA MALALAMIKO YA WADAU KUWA MADREVA WANAZUIA MWENYE TAXI MWINGINE ASILETE GARI YAKE AIRPORT KUJIPATIA RIZKI ZAIDI YA WAO? JE NAO KAWAWEKA MENEJA HUYU?

TETEA CHAKO ILA USIHARIBU WALA KUCHAFUA SIFA NJEMA YA ALIYE MSAFI KWA MASLAHI YAKO. KWA KIPINDI NIMEKUWEPO, SIKUWAHI ONA MENEJA MSKIVU, MCHAPA KAZI, NA MKARIMU, NA LILIKUWA KIPINDI AMBACHO KIWANJA HICHO KINAPAMBANIWA KIPATE ISO IDENTIFICATION, NA KIKAFANIKIWA CHINI YAKE. ALIKUWA MSTARI WA MBELE KUYAFIKISHA MAFANIKIO YA KIWANJA KWANIABA YA DG NA MAMLAKA. ACHENI KUENDEKEZA NJAA KUCHAFUA WATU.

NIJUAVYO MIMI, TOKEA UKARABATI UMEANZA NA WAGENI KULALAMIKIA MADREVA, KIKAO KIKAFANYIKA PALE ARRIVAL, MADREVA HAWAKUPENDA MAZIMIO, NI KUWA HAYA MALALAMIKO C YA WAGENI, NI YA KIMASLAHI BAINA YA MADREVA WALIOKUWA WANADAI DOLA 5 KWA BEG NA VIJANA HAWA WANAO DAI DOLA MOJA KWA MGENI BILA KUJALI ANAMABEGI MANGAPI. MWENYE AKILI, ACHUJE. MWENYE UKWELI ZAIDI YA HUO ALETE NA ASIFICHE IDENTIFICATION KAMA KWELI HAJALENGA KUPOTOSHA UMMA, VIONGOZI NA SERIKALI.

Basila M.
mkuu umeongea mengi sana shukran kwa kutujuza lakini unafahamu kwamba airport sio sehemu sawa na stendi ya mabasi yaendayo mikoani?haimake sense kwamba unaweka utaratibu airport kama ule utaratibu wa stendi ya mabasi ya kwenda mikoani(kuruhusu kikundi cha watu kufanya kazi isiyo rasmi bila makubaliano na mteja)kama kulikuwa na ulazima(dharura) huyo meneja wa uwanja angetafuta utaratibu mwingine wa kistaarabu kuepusha kero kwa wateja...tatizo sio gharama zinazotozwa bali hakuna kero kama kudaiwa pesa za malipo kwa huduma ambayo hamjakubaliana au hamjafahamishwa kabla ya kuoewa huduma
 
Hii ndio Tanzania aliyoinajisi Jiwe.
Trafiki ruksa kuchukua pesa licha ya kupata mshahara, na posho laki 4 .
Unashangaa pota kudai fedha aliyoifanyia kazi?
 
hii nchi watu wana tamaa za kipuuzi mpaka aibu kabisa, maeneo yote ya utalii utakutana na wahuni kama hao. Ni Aibu kabisa.
 
Labda tukuulize mchangiaji.
1. Uwanja umeanza kukarabatiwa lini? Na kile kikundi Kiko hapo tangu lini?

2. Walalamikaji kwenye account ya Arusha Airport mtandaoni ni wazawa au ni wageni?
Isije ikawa unajitahidi kuijibu hoja Kumbe uko nje ya mada. Karibu.
 
NAMIM NGOJA NISIPEPESE MACHO. Wala nisifiche jina kwani ukweli haufichwi. NIJUAVYO MIMI kama niliyekuwepo Kiwanja hapo na niliyeshiriki wakati malalamiko yanatolewa na wageni, NIKWELI KIKUNDI KIPO KAMA KULIVYO NA KIKUNDI CHA WAKATA MAJANI, MADREVA, NA CHA VIJANA WA KAZI. ILA KIKUNDI HIKI CHA WABEBA MIZIGO KIMEPOTOSHWA KWA ASILIMIA 98 YA YOTE YALIYOELEZEA.

UKWELI NI KWAMBA HUYU MPOTOSHAJINI DREVA NA ANATETEA MASLAHI YAKE NA SIO YA MTALII.

TOKEA UKARABATI WA KIWANJA UMEANZA, KUMEKUWA NA MVUTANO BAINA YA MADREVA TAXI NA DREVA TOURS KWA UPANDE MMOJA, DHIDI YA KIKUNDI HIKI Kwa upande mwingine.

NASHUKURU Stroke na wengine WAMEGUSIA UOANDE WAPILI WAHOJA MI NACHOFANYA NAWEKA USHAHIDI TU.

Kwaasa sipo. Ila nimewahi fanya KAZI Arusha airport Kwa muda, na utendaji wa Viongozi wa TAA Arusha Umekuwa intact na MATARAJIO ya wageni. Namin aliyetoa post hii ananifaham, hata nikiandika jina moja tu.

Kiwanja Cha ndege Cha Arusha kimekuwa ktk matengenezo, na wakati kikundi HIKI kinaanzishwa manager alipokea malalamiko ya muda mrefu toka Kwa wadau na watalii kuwa KUTOKANA na matengenezo hayo yaliyopelekea baadhi ya mageti kutotumika, wageni wanatembea umbali mrefu na mabegi, kitendo kinachopelekea MADREVA TAXI na tours wanawadai kiasi kikubwa Cha pesa za kubeba mizigo Kwa beg moja nje ya bajeti zao kwani waliwadai Hadi Dola 5 Kwa beg.

BAADA ya malalamiko kuwa mengi, Meneja aliwaita wadau wote, MAMLAKA zote na vikundi vyote. Wakatoa maoni kuwa nikweli wageni wanalalamika kuwa umbali wakubeba mabeg Umekuwa mkubwa na wanadaiwa ela kubwa ya kubeba mabeg na MADREVA wanao waleta.

Ikapeneekezwa wawepo kikundi maalum, kisichozidi watu 5 wapewe reflectors na vitambulisho vya muda, wasaidie wagen kutatua kero hiyo Kwa mgeni ATAKAYE TAKA KUBEBEWA MZIGO, na WASIMDAI MGENI ZAIDI YA DOLA MOJA. NA KWAKUWA MADREVA NDIO WALIOLALAMIKIWA, BASI DREVA ANAPOMSHUSHA MGENI HARUHUSIWI KUMBEBEA MIZIGO YAKE. KTK KIKAO HICHO HATA BAADHI YA WATUMISHI WALIOKUWA WAKIBEBA MABEGI WALIPIGWA MARUFUKI KALI, NA HAWAKURUDIA.

UAMUZI HUU HAUKUWAFURAHISHA MADREVA NA SIKU ZOTE WALIWACHUKULIA VIJANA HAWA KAMA WAMEWANYANGANYA TONGE MDOMONI, LAKINI SIKU ZOTE WAKAWA NDIO WANAOLALAMIKA KWA SECURITY NA SIO WAGENI KAMA WALIVYOTUMIWA KTK POST.

UONGOZI ULIENDELEA KUWASISITIZA KUWA KWAKUWA VIJANA HAO WAPO KWA MUDA KIPINDI KIWANJA KINAKARABATIWA WAJARIBU KUWA WAVUMILIVU, UONGOZI UFANYIE KAZI MALALAMIKO YA WAGENI NA SIO MALALAMIKO YA MADREVA WANAOONA WAMEPOTEZEWA KIPATO. BAADA YA UKARABATI KUKAMILIKA, NA UMBALI WA KUBEBA BEG KUPUNGUA, HALI ITARUDI KAMA ILIVYOKUWA AWALI, AU KAMA KITAKUWA NA MABADIRIKO MAPYAYAKIWEMO KUONDOA KABISA MGENI KUBEBEWA MZIGO, BASI WATAELEZWA

MADREVA HAWA WANAFAHAM KUWA KIKUNDI HICHO NI CHAMUDA NDOMANA WAMESUBIRI UKARABATI SASA UNAELEKEA UKINGONI NDIPO WAMETOA POST HII KAMA KU PRE EMPTY , LAKINI C KWELI KUNA KITU KAMA MALALAMIKO YA WAGEN ISIPOKUWA YALIYOLETWA DHIDI YAO MADREVA.

MADREVA HAWA WANAWEZA KUWA SAWA KAMA SHIDA YAO NIKUHITAJI HALI IRUDI KAMA AWALI SAWASAWA NA MAJIBU YA UONGOZI WA KIWANJA. ILA WANAKOSEA KUCHAFUA UONGOZI ULIOPANBANA KUHAKIKISHA HALI IPO KAMA ILIVYO SASA, NA IKIZINGATIWA KUWA HAWA A UHAKIKA KAMA WATARUHUSIWA NAO KUBEBA BIZIGO IWAPO UKARABATI UKAKAMILIKA.

KAMA UTARATIBU HAUJABADIRIKA, MENEJA WANAYE MSEMA VIBAYA, WAMESAHAU KUWA AMEYAVUMILIA PIA MALALAMIKO YA WADAU KUWA MADREVA WANAZUIA MWENYE TAXI MWINGINE ASILETE GARI YAKE AIRPORT KUJIPATIA RIZKI ZAIDI YA WAO? JE NAO KAWAWEKA MENEJA HUYU?

TETEA CHAKO ILA USIHARIBU WALA KUCHAFUA SIFA NJEMA YA ALIYE MSAFI KWA MASLAHI YAKO. KWA KIPINDI NIMEKUWEPO, SIKUWAHI ONA MENEJA MSKIVU, MCHAPA KAZI, NA MKARIMU, NA LILIKUWA KIPINDI AMBACHO KIWANJA HICHO KINAPAMBANIWA KIPATE ISO IDENTIFICATION, NA KIKAFANIKIWA CHINI YAKE. ALIKUWA MSTARI WA MBELE KUYAFIKISHA MAFANIKIO YA KIWANJA KWANIABA YA DG NA MAMLAKA. ACHENI KUENDEKEZA NJAA KUCHAFUA WATU.

NIJUAVYO MIMI, TOKEA UKARABATI UMEANZA NA WAGENI KULALAMIKIA MADREVA, KIKAO KIKAFANYIKA PALE ARRIVAL, MADREVA HAWAKUPENDA MAZIMIO, NI KUWA HAYA MALALAMIKO C YA WAGENI, NI YA KIMASLAHI BAINA YA MADREVA WALIOKUWA WANADAI DOLA 5 KWA BEG NA VIJANA HAWA WANAO DAI DOLA MOJA KWA MGENI BILA KUJALI ANAMABEGI MANGAPI. MWENYE AKILI, ACHUJE. MWENYE UKWELI ZAIDI YA HUO ALETE NA ASIFICHE IDENTIFICATION KAMA KWELI HAJALENGA KUPOTOSHA UMMA, VIONGOZI NA SERIKALI.

Basila M.
Tujibu. Kikundi kilianzishwa lini! Na ukarabati wa Airport ulianza lini?

Na walalamikaji kwenye account ya Arusha Airport mtandaoni ni wazawa au ni watalii?

Tuanzie hapo
 
Si jambo la kushangaza kabisa nowdayz viwanja vingi security officers wanakosea sana unakuta mda wa ndege kuondoka wao ndio wanajifanya wasaidizi wa mizigo ya abiria wanaingia mpka airside ( Rushwa mbili ya ngono na pesa) inaombwa kibabe kabisa hapa
 
Si jambo la kushangaza kabisa nowdayz viwanja vingi security officers wanakosea sana unakuta mda wa ndege kuondoka wao ndio wanajifanya wasaidizi wa mizigo ya abiria wanaingia mpka airside ( Rushwa mbili ya ngono na pesa) inaombwa kibabe kabisa hapa
 
NAMIM NGOJA NISIPEPESE MACHO. Wala nisifiche jina kwani ukweli haufichwi. NIJUAVYO MIMI kama niliyekuwepo Kiwanja hapo na niliyeshiriki wakati malalamiko yanatolewa na wageni, NIKWELI KIKUNDI KIPO KAMA KULIVYO NA KIKUNDI CHA WAKATA MAJANI, MADREVA, NA CHA VIJANA WA KAZI. ILA KIKUNDI HIKI CHA WABEBA MIZIGO KIMEPOTOSHWA KWA ASILIMIA 98 YA YOTE YALIYOELEZEA.

UKWELI NI KWAMBA HUYU MPOTOSHAJINI DREVA NA ANATETEA MASLAHI YAKE NA SIO YA MTALII.
TOKEA UKARABATI WA KIWANJA UMEANZA, KUMEKUWA NA MVUTANO BAINA YA MADREVA TAXI NA DREVA TOURS KWA UPANDE MMOJA, DHIDI YA KIKUNDI HIKI.
NASHUKURU KUNA AMBAO WAMESHA KUJIBU, MI NACHOFANYA NAWEKA USHAHIDI TU.
Kwaasa sipo. Ila nimewahi fanya KAZI Arusha airport Kwa muda, na utendaji wa Viongozi wa TAA Arusha Umekuwa intact na MATARAJIO ya wageni. Namin aliyetoa post hii ananifaham, hata nikiandika jina moja tu.

Kiwanja Cha ndege Cha Arusha kimekuwa ktk matengenezo, na wakati kikundi HIKI kinaanzishwa manager alipokea malalamiko ya muda mrefu toka Kwa wadau na watalii kuwa KUTOKANA na matengenezo hayo yaliyopelekea baadhi ya mageti kutotumika, wageni wanatembea umbali mrefu na mabegi, kitendo kinachopelekea MADREVA TAXI na tours wanawadai ela za kubeba mizigo nje ya bajeti zao. Tena waliwadai Hadi Dola 5 Kwa beg.

BAADA ya malalamiko kuwa mengi, Meneja aliwaita wadau wote, MAMLAKA zote na vikundi vyote. Wakatoa maoni kuwa nikweli wageni wanalalamika kuwa umbali wakubeba mabeg Umekuwa mkubwa na wanadaiwa ela kubwa ya kubeba mabeg na MADREVA wanao waleta.

Ikapeneekezwa wawepo kikundi maalum, kisixhozidi watu 5 wapewe reflectors na vitambulisho vya muda, wasaidie wagen kutatua kero hiyo Kwa mgeni ATAKAYE TAKA KUBEBEWA MZIGO, na WASIMDAI MGENI ZAIDI YA DOLA MOJA. NA DREVA ANAPOMSHUSH MGENI HARUHUSIWI KUMBEBEA MIZIGO. KTK KIKAO HICHO HATA BAADHI YA WATUMISHI WALIOKUWA WAKIBEBA MABEGI WALIPIGWA MARUFUKI KALI, NA HAWAKURUDIA.

UAMUZI HUU HAUKUWAFURAHISHA MADREVA NA SIKU ZOTE WALIWACHUKULIA VIJANA HAWA KAMA WAMEWANYANGANYA TONGE MDOMONI, LAKINI SIKU ZOTE WAKAWA NDIO WANAOLALAMIKA KWA SECURITY NA SIO WAGENI KAMA WALIVYOTUMIWA KTK POST.

UONGOZI ULIENDELEA KUWASISITIZA KUWA KWAKUWA VIJANA HAO WAPO KWA MUDA KIPINDI KIWANJA KINAKARABATIWA WAJARIBU KUWA WAVUMILIVU, UONGOZI UFANYIE KAZI MALALAMIKO YA WAGENI NA SIO MALALAMIKO YA MADREVA WANAOONA WAMEPOTEZEWA KIPATO. BAADA YA UKARABATI KUKAMILIKA, NA UMBALI WA KUBEBA BEG KUPUNGUA, HALI ITARUDI KAMA ILIVYOKUWA AWALI.

MADREVA HAWA WANAFAHAM KUWA KIKUNDI HICHO NI CHAMUDA NDOMANA WAMESUBIRI UKARABATI SASA UNAELEKEA UKINGONI NDIPO WAMETOA POST HII.

WAKO SAWA KAMA SHIDA YAO NIKUHITAJI HALI IRUDI KAMA AWALI SAWASAWA NA MAJIBU YA UONGOZI WA KIWANJA. ILA WANAKOSEA KUCHAGUA UONGOZI ULIOPANBANA KUHAKIKISHA HALI IPO KAMA ILIVYO SASA.

KAMA UTARATIBU HAUJABADIRIKA, MENEJA WANAYE MSEMA VIBAYA, WAMESAHAU KUWA AMEYAVUMILIA PIA MALALAMIKO YA WADAU KUWA MADREVA WANAZUIA MWENYE TAXI MWINGINE ASILETE GARI YAKE AIRPORT KUJIOATIA RIZKI ZAIDI YA WAO? JE NAO KAWAWEKA MENEJA HUYU?

TETEA CHAKO ILA USIHARIBU WALA KUCHAFUA SIFA YA ALIYE MSAFI KWA MASLAHI YAKO. KWA KIPINDI NIMEKUWEPO, SIKUWAHI ONA MENEJA MSKIVU, MCHAPA KAZI, NA MKARIMU, NA LILIKUWA KIPINDI AMBACHO KIWANJA HICHO KINAPAMBANIWA KIPATR ISO IDENTIFICATION, NA KIKAFANIKIWA CHINI YAKE. ALIKUWA MSTARI WA MBELE KUYAFIKISHA MAFANIKIO YA KIWANJA KWANIABA YA DG NA MAMLAKA. ACHENI KUENDEKEZA NJAA KUCHAFUA WATU.

NIJUAVYO MIMI, TOKEA UKARABATI UMEANZA NA WAGENI KULALAMIKIA MADREVA, KIKAO KIKAFANYIKA PALE ARRIVAL, MADREVA HAWAKUOENDA MAZIMIO, NI KUWA HAYA MALALAMIKO C YA WAGENI, NI YA KIMASLAHI BAINA YA MADREVA WALIOKUWA WANADAI DOLA 5 KWA BEG NA VIJANA HAWA WANAO DAI DOLA MOJA KWA MGENI BILA KUJALI ANAMABEGI MANGAPI.

Ndugu tueleze kile kikosi kazi kilianzishwa lini?
Wewe umesema kilianzishwa kipindi Cha ukarabati wa Airport Kitu ambacho si kweli.

Arusha Airport imeanza ukarabati huo wa Majengo kipindi cha Magu. Tena kukatokea kashfa ya matumizi mabaya ya pesa. Waziri mkuu akaenda hapo Ndio wakajifanya bado walikuwa hawajakamilisha kwa hiyo pesa bado zipo
Wakazitapika hao waliokuwa wamezichimbia. Tuliache hilo kwanza sio target yetu kwa leo.

Kwa kukusaidia kile kikundi kiko pale almost miaka 11 sasa. Tangu Mama Dede akiwa Manager wa uwanja uache kupotosha umma
Wakibeba mabegi. Wakipewa zile dollar kuna Boss wao ambaye ndie kafara na Founder wa hicho kikundi anapelekewa zile dollar vile zilivyo kama hesabu yake ya siku. Na zile zilizozidi kama faida yao anazinunua hadi sasa dollar's zote lazima wampelekee wao.

Mwisho. Ukijibu hoja jipange kuna wanaojua mambo kuliko wewe kama umetumwa kumsafisha mtu Mwambie umechafuka sana unanuka.

Ingia account ya Google Arusha Airport soma complainers almost wote ni wazungu
Je Utasema wazungu wanawachukia? Wanawajua? Wenzetu wazungu wanafikiri mbele zaidi na katika uwazi Kwamba ukikosolewa unajirekebisa ndio biashara zinavyofanyika
Na lazima upitie Kila malalamiko ya Mgeni uyajibu. Cha kusikitisha hakuna hata mmoja yuko responsible kujibu wageni wanacholalamikia
Alafu linakuja kutujibu sisi huku hata aibu halina.
Rudi shule ukajifunze kufanya biashara na watalii
Biashara ikilalamikiwa unajitokeza unajibu. Ili wateja wengine wakitaka kuandika kitu hicho hicho waone kimeshajibiwa waache kuandika

Sasa nyie mnakaa kimya mnakuja kutujibu sisi kisa mmeona Siri imefichuka. Ni tumeona tuwasaidie wageni kufikisha ujumbe
Airport ni biashara inahitaji viongozi wanaojua biashara na costomer cares

Jamani Basila wewe! Jiheshimu basi
 
Back
Top Bottom