KERO Malalamiko yangu dhidi ya NMB bank

KERO Malalamiko yangu dhidi ya NMB bank

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,175
Reaction score
1,588
Mimi nimekuwa mteja wa hizi bank za hapa nyumbani ila hii bank ya NMB ndiyo bank iliyoongoza kuniginbanisha na wateja

Hakuna bank yenye mfumo mbovu kama nmb imagine nimefanya muamala kutoka nmb kwenda mtandao wa simu kupitia lipa mkononi muamala wa mwisho nimefanya jumamomosi saa moja hasubuhi ule muamala unasema "inprogress" mpaka saivi hiyo jumamosi nikawapigia wakasema wana refund pesa but mpk leo muamala upo inprogress

Sasa nimewaza kitu miamala mingapi watu wanapitia changamoto kama hii imagine ku refund pesa tangu Jumamosi mpaka saivi bado hao ma IT wao wamesomea wapi? Ni zoezi gumu hivyo?

Hili sio tatizo la kwanza unaweza kuamka siku ukakuta kupitia app yao hauwezi kulipa kwenda kwenye mtandao wa simu ila kutuma inakubali na wakiwa na tatizo hawalitatu kwa haraka

Binafsi nishasababushiwa hasara mala nyingi mpka nagombana na wateja imefikia hatua mtu akisema nakulipa kupitia nmb naogopa nakuwa sina uwakika na hiyo hela

Nmb wanapaswa kujitafakari
 
Sawa nadhani NMB wafanyie kazi changamoto yako
 
Mbona ni tataizo dogo sana.

Si wamekuambia pesa yako itarudishwa, tumia pesa nyingine uliyonayo kufanya shughuli zako.
 
Sawa nadhani NMB wafanyie kazi changamoto yako
Mbona ni tataizo dogo sana.

Si wamekuambia pesa yako itarudishwa, tumia pesa nyingine uliyonayo kufanya shughuli zako.
Vp kama sina pesa nyingine? Pengine hiyo pesa nalipia matibabu mtu si anafariki? Yaani ni bora mtandao wa simu kuliko bank kwenye ku refund pesa
 
Halafu mm walinikata 60000 Sikujua imepita wapi ,pia ile *150*66# haifanyi kazi kabisa
 
NMB ni bank ya kishamba sana, huona raha kuona watu wamejaa bank wengine wamekaa chini. Kuna zoezi lao la kuhakiki account, mbona benk zingine halipo?
 
Kurudishiwa pesa ni ndani ya masaa 72, vita subira
 
Mbona ni tataizo dogo sana.

Si wamekuambia pesa yako itarudishwa, tumia pesa nyingine uliyonayo kufanya shughuli zako.
Akili huna kaama unafanya biashara ukifanya miamala mitano ikasumbua hivyo kun biashara tena hapo kweli. Think twise kitimoto
 
Back
Top Bottom