Kulikuwa na tatizo tigo, ilikuwa unaweka muda wa maongezi, mfano 2000, unajiunga voice call package ya 1000, ukipiga simu inakula kwenye 1000 iliyobaki mpaka iishe ndipo ianze kule ulikojiungaBaadhi ya mitandao (kama sio yote) imekuwa na utaratibu wa kukata pesa kwenye salio la muda wa maongezi pasipo sababu...
Tumeshaambiwa kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba zake Sasa unafikiri sisi akina mitandao ni bata..??Baadhi ya mitandao (kama sio yote) imekuwa na utaratibu wa kukata pesa kwenye salio la muda wa maongezi pasipo sababu...
Yaan...hii mitandao inafanya inavyoona wao inafaa. Ni kama hawana sheria wala utaratibu.halotel ndo wamezidi
ukijiunga kifurushi wanakwambia bonyeza moja ili usikatwe salio la kawaida lkn cha ajabu hata ukifanya hvyo bado wanakata
hallotel kwa kweli sijapenda hii tabia
Kuna siku nimewapigia voda kwanini wamekata hela wakati sijajiunga na huduma zao,baada ya kukosa majibu ya kuniridhisha wakasema niingiye ktk menyu niangaliye matumizi.Nikawauliza kama wao ktk mitambo yao hawajaona huduma nilizojiunga hiyo menyu itasaidia nini.Baadhi ya mitandao (kama sio yote) imekuwa na utaratibu wa kukata pesa kwenye salio la muda wa maongezi pasipo sababu...
Kampuni za simu za Tanzania ni za hovyo sana. TIGO nao ni matapeli pia wa pesa za wateja wao.Baadhi ya mitandao (kama sio yote) imekuwa na utaratibu wa kukata pesa kwenye salio la muda wa maongezi pasipo sababu...
Kuna siku nimewapigia voda kwanini wamekata hela wakati sijajiunga na huduma zao,baada ya kukosa majibu ya kuniridhisha wakasema niingiye ktk menyu niangaliye matumizi.Nikawauliza kama wao ktk mitambo yao hawajaona huduma nilizojiunga hiyo menyu itasaidia nini.Halafu cjuwi wameajiri watu wengine wasiyo na weledi unakuta ktk jambo moja huyu anasema vile huyu hivi.Na halotel juzi nimeweka buku wamekata 250nikashindwa kujiunga kifurushi pendwa.Nyie mitandao jirekebisheni tutahamasishana tuwahame.