Ipilimo Tuagize Magari
Member
- Nov 23, 2019
- 89
- 86
Kila mtu anajua kujikinga na malaria, anajua dalili za malaria, anajua tiba ya Malaria, inatibika hospital na zahanati..kiufupi hakuna jipya , watu wanakufa ndio sababu ni ugonjwa , usipojikinga vema na kupata tiba kwa wakati na dozi sahihi unakufa. Ila corona ni kama mpya nguvu lazima IWE nyingi...na itafika wakati nayo itakuwa ya kawaida na itapata dawa, Kinga sahihi....na pia ugonjwa mpya ndio wakati wa kupiga hela.