Angalia detailed mortality figures hapa
Coronavirus in the U.S.: Latest Map and Case Count
https://nyti.ms/39jvJEY
Lakini kwa nini unaongelea mortality wakati kuna watu hawafi wanapata long Covid ambayo athari zake ni nyingi tu?
Pia kwa nini unaongelea mortality ya general population wakati wanaokufa kwa Covid zaidi ya 99% ni wasiochanjwa?
Yani uko vitani. Unapewa helmet na bullet proof. Wanajeshi nusu wamekubali hiyo helmet na bullet proof. Nusu wengine wamekataa.
Katika kuangalia wanajeshi wanaokufa, zaidi ya 99% ni wale nusu waliokataa helmet na bullet proof.
Bado unaongelea mortality ya general population?
For what purpose?
What kind of Russian roulette is that?
All in all, hata sielewi unab8shana na mimi kwa nini.
Nimeshakwambia usipotaka kuchanja usichanje. Umesema takwimu zetu uchwara. Nimekukubalia takw8munzetu uchwara.
Usichanje. Takwimu zetu uchwara.
Tatizo liko wapi?