DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Ndo maana hapo juu nikasema its either umepanick au huyu anae type hapa sio wewe, maana najua argumenting capacity yako.Sawa.
Wewe ndiye unajua. Hizo data zina walakini.
Usichanje.
Kwani kuna mtu kakulazimisha kuchanja?
Usichanje.
Mtu akikulazimisha kuchanja nitatetea haki yako ya kukataa kuchanja.
Umekataa kuchanja, kwa sababu zako zozote zile, zenye msingi au zisizo na msingi. Hakuna wa kukuingilia katika haki yako hii. Akikuingilia mtu tutatetea haki yako hii hata kama hatukubaliani nawe kuhusu chanjo.
Tatizo liko wapi?
Hapa tunazifanyia analysis hizi data zako ki-mantiki (umekua ukihubiri sana mantiki) sasa we unaleta habari za mimi ni haki yangu kukataa hakuna wa kunilazimisha, is that relevant?!!!