Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Net zenyewe zina madhara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajichanganya tu brazaUnauliza swali, unasema sijajibu, unatoa jibu nililokupa, halafu unasema jibu nililokupa lina cintradiction.
Hapa ni lazima uamue kimoja.
Sijakujibu au nimekujibu jibu lenye contradiction?
Haiwezekani hapo hapo nikawa sijakujibu, halafu hapo hapo nikawa nimekujibu jibu lenye contradiction.
Naona wewe ndiye mwenye contradiction hapa.
You are not even wrong.Unajichanganya tu braza
Marekani kwa sasa zaidi ya 97% ya watu wanaolazwa hospitali kwa Covid-19 na zaidi ya 99% wanaofariki ni watu waliokataa kuchanjwa.
Soma maneno ya wataalam hapo chini, usisikilize conspiracy theory tu.
"More than 99% of recent deaths were among the unvaccinated, infectious disease expert Dr. Anthony Fauci said earlier this month on NBC's Meet the Press, while Walensky noted on Friday that unvaccinated people accounted for over 97% of hospitalizations."
![]()
U.S. COVID Deaths Are Rising Again. Experts Call It A 'Pandemic Of The Unvaccinated'
Reversing a months-long downward trend, deaths from COVID-19 have begun rising steadily this week. More than 99% of the recent fatalities were among people who had not been vaccinated.www.npr.org
Unaonaje ukajibu hoja zake?Corona na ikutomase kidogo ili utuletee habari yake
Maambukizi yanazidi kwa sababu watu hawataki kuchanja, kama wewe.
Unasema kwamba kuna Wamarekani wengi sana wanaumwa vibaya sana kiasi cha kutakiwa kulazwa halafu wanakataa kulazwa?Hizo % ni ya watu hospitalized wangapi ambao wamepata maambukizi, isijekua 2 % ya waliopata maambukizi wamekua hospitalized and make a total of 97% of hospitalized cases the same applies to hiyo 99% ya death,
Hapo kwenu marekani mortality rate ya korona ni around 2%, ila kwa haraka mtu akiangalia hizo data zako anaweza kudhani 97% na 99% ya ambao hawajachanja wanalazwa na wanakufa kwa covid, kumbe story ni tofauti kabisa.
Unaweza kuandika kwa namba, kwa asilimia, kama mimi nilivyokuandikia kwamba wanaolazwa zaidi ya 97% na wanaokufa zaidi ya 99% ni wasiochanjwa?Kama idadi ya wanaochanjwa daily inaongezeka lakini pia maambukizi yanaongekeka proportionally how on earth utasema wasio chanja wanasababisha maambukizi kuongezeka?, means hiyo chanjo yenu efficacy yake ina walakini
Washatufanya panya wa majaribioWanatafuta panya wa majaribio kwa nguvu [emoji23][emoji23]
Wanaumwa halafu wanakataa kulazwa?!! bro una shida gani kwani, mbona huu uelewa wako sio wa kiranga I know..ukiumwa sana unakataa vipi kulazwa?!!!Unasema kwamba kuna Wamarekani wengi sana wanaumwa vibaya sana kiasi cha kutakiwa kulazwa halafu wanakataa kulazwa?
Matatizo yako ya kujua kusoma namba unataka kunipa lawama mimi?
Safii, here you are coming..Unaweza kuandika kwa namba, kwa asilimia, kama mimi nilivyokuandikia kwamba wanaolazwa zaidi ya 97% na wanaokufa zaidi ya 99% ni wasiochanjwa?
Ili tubishane kwa data na sources tuachane kubishana kijingajinga bila data?
How could you talk about proportionally without data?
Sasa kama wanaoumwa sana karibu wote wanalazwa, hizo figures za wanolazwa unaanzaje kuziwekea shaka kwamba zinaakisi ukweli?Wanaumwa halafu wanakataa kulazwa?!! bro una shida gani kwani, mbona huu uelewa wako sio wa kiranga I know..ukiumwa sana unakataa vipi kulazwa?!!!
Karibu nusu hawajachanja, halafu unashangaa idadi ya maambukizi kuongezeka?Safii, here you are coming..
Mme vaccinate 54% and graph inapanda!
Tunaposema tunahitaji a solid clinical trial ndo hapa sasa, kujua kama hiyo vaccine inazuia au haizuii ina delay au ina shoot bila kusahau safety in a long period of time.View attachment 1874506View attachment 1874507View attachment 1874508View attachment 1874509
Karibu nusu hawajachanja, halafu unashangaa idadi ya maambukizi kuongezeka?
54% waliochanjwa ni ya watu wangapi? Maambukizi yaliyoongezeka ni mangapi?
Maambukizi hayo yanawezekana kutokea katika hiyo 46% iliyobaki?
The keyword ni wanaoumwa sana, vipi wasioumwa sana au wasiokua na dalili yoyote katika hao positive covid?Sasa kama wanaoumwa sana karibu wote wanalazwa, hizo figures za wanolazwa unaanzaje kuziwekea shaka kwamba zinaakisi ukweli?
50% ya wangapi? Ukiwa na watu milioni 100 hawajachanja na wengi hawavai hata mask utategemea maambukizi yashuke?Kama more than 50 wamechanja tulitegemea namba ishuke sana, lakin inaendelea kupanda.
Yaan kabla ya kuchanja namba ilikua ina shoot then ika drop kidogo then inapanda tena, huwez kuniambia less than 50 hawajachanja lakin still graph ipande the same way wakati hawajachanja, can't you see the difference?
Pitia kwenye hizo screenshot au routers site(nimeshindwa ku-attach link) kujibu hayo maswali yako.
Hao wengi ni waliochanjwa, na hapo ndipo umuhimu wa chanjo unapokuja.The keyword ni wanaoumwa sana, vipi wasioumwa sana au wasiokua na dalili yoyote katika hao positive covid?
kuna jamaa yangu job,alipoteza baba mlezi,juzi kati kapoteza mama jana kapoteza baba. muulize kama malaria iliwahi poteza ndugu zake hivyo!Kudadeki!