Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?

Ni pale waliposema tenda wema uende zako;
Lakini ni kweli kuwa ukizingatia unapona kabisa.

Bibi [B said:
Mamndenyi[/B] ninawasaidia wengi lakini wabongo hawana shukrani wakipona hawaleti Feedback wananivunja moyo sana hata wakiwa na shida nitashindwa kuwasaidia.
 
Dawa ya Malaria sugu jaribu hivi :

Chukua vitunguu swaumu vilivyo menywa kipimo cha kiganja kimoja cha mkono wako, twanga vilainike, halafu kamulia limao moja au mawili. Acha vikae angalao kwa masaa 2 halafu weka maji ya kunywa ya uvuguvugu ndo mazuri. Chuja na unywe.

Fanya hivyo mara 2 kwa siku, halafu angalau Tumia siku 3 au zaidi kwa uhakika zaidi.

Huo mpango pia inatibu pia typhoid sugu.

Pia kunywa maji mengi ya uvuguvugu ili kuondoa sumu Mwilini.

Dawa za asili kama Vitunguu Saumu na Malimao hazina Madhara kwa binadamu No Side Effects. Of course hivi ni vyakula

mkuu haiwezekani nikaandaa juice nyingi alafu ninywe kidogo kidogo maan hii shughuli ya kumenya vitunguu si ndogo!!
 
Pole sana,
Hebu wasiliana na huyu jamaa anaitwa Michael ana dawa fulani ya asili nzuri sana. Nakuhakikishia ni dawa nzuri sana kwa malaria sugu. 0752452863. Yeye yupo huko Dar
 
mkuu haiwezekani nikaandaa juice nyingi alafu ninywe kidogo kidogo maan hii shughuli ya kumenya vitunguu si ndogo!!
Mkuu sio kazi kuvimenya Dawa hiyo unatumia kwa uchache wake ni siku 3 kwa wingi wake unatumia siku 7 utakuwa umeshapona akipenda Mungu. usifanye juisi fanya hivyo hivyo viwe fresh kila siku kwa muda wa siku 3 au waweza kutumia siku 7 kisha nenda kapime utaku tahuna tena Malaria vijidudu wote watakufa ukitaka uzima fanya hiyo nilivyokwambia mwanzo.Tumia kisha uje unipe feedbak.
 
kwa sasa nipo Moshi mkuu..ila maelezo yako nitayatunza!! Shukrani

kama upo moshi nenda pale kwa kishamba majengo upime malaria. Binafsi naiamini sana maabara yao, malaria ni tatizo na kwangu pia lakini kwa kiasi fulani najitahidi kuikabili. Nilikuja kugundua kuwa haya madawa ya malaria yanaingiza udhaifu fulani mwilini matokeo yake unajisikia unaunwa na kujihisi ni malaria kumbe siyo. Usijisumbue kwenda kununua dawa za gharama kuitibu malaria yako.. Cha msingi kapime malaria ujue ipo ama haipo, kama unaweza kukaa miezi miwili bila kuugua basi jitahidi katika kipindi hicho utumie hata vyakula na vinywaji vyenye asili ya kuongeza immunity mwilini. Sometimes tumia zandu japo sio guarantee sana lakini ni nzuri kama utachanganya na alovera gel pamoja na seeds za moringa oleifera.
 
sawa nimekuelewa..nimeanza jioni ya leo, nitaleta feedback tu!!!
 
nashukuru mkuu kwa maelezo mazuri...hasa kwenye vyakula na hivyo vinywaji!!
 
Wakuu si mara ya kwanza kuja hapa kuomba ushauri wenu!!

Kwa kifupi ni kama miaka miwili na ushee sasa sijawahi kuwa mzima kutokana na huu ugonjwa!! Nimefanya vipimo vyote ila huwa nakutwa na malaria peke yake na mara chache minyoo. Nimetumia dawa nyingi kuanzia za hospitalin mpaka miti shamba, ila hata pale nilipoweza kutokomeza wadudu wote...sikuweza kurudi kwenye normal condition na malaria ilirudi tena ndani ya mwezi ama miezi miwili.

Ninavyoandika hii thread, ndani ya mwezi nimetumia dawa zaid ya 3 hakuna mafanikio yeyote. Nilianza na Malafin ikachemka, nikanywa Atequin nayo haikunipa nafuu, nikaandikiwa vidonge vya quinin bado sikuona unafuu, hivi wiki iliyopita nimepima na kuktwa na malaria 5, nimekunywa Duo-cotexin lakin mpaka muda huu hali haijatengamaa!!

Najitahidi kwa kila hali kuwakwepa mbu lakini haisaidii, wengine wanasema ni malaria sugu...sikatai inawezekana...ninachowaomba, mwenye uwezo wa kunifanya nipate tiba sahihi anisaidie...niondokane na haya masumbuko..

Sina raha ndugu zangu, hata kazi nafanya kwa kujilazimisha!!

Asanteni!!!
Hapo kwenye red ebu acha roho mbaya kwa viumbe wa M/mungu khaa!!Sasa ukiwakwepa unataka wakale wapi wakati hawawezi ata kushika Jembe?acha hizo bhana!!!
 
mkuu haiwezekani nikaandaa juice nyingi alafu ninywe kidogo kidogo maan hii shughuli ya kumenya vitunguu si ndogo!!
nadhani inatakiwa kunywewa ikiwa bado fresh,kwani ukiandaa nyingi ule ufresh una deteriorate kadri mda unavyokwenda.
 
Naomba kujua dalili unazozipata,ndo zinazokujulisha unamalaria,(kuumwa kichwa,shingo na mgongo,kukosa hamu ya kula na uchovu? Nipe jb
 
shukrani mkuu...nitaitafuta hiyo dawa!!

Sishauri ununue hiyo mefaquin kwa vile umekwishatumia artequin.Cha kufanya tafadhali mtafute physician kabla ya kuamua kuendeleza kila aina ya dawa unayoshauriwa.Pia kula salad ya matunda aina nyingi kwa matokeo mazuri ya baadae

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
sawa mkuu!!
 
DAWA YA KUTIBU MALARIA SUGU FANYA HIVI:

Malimao na Kiitunguu Saumu.

Chukua vitunguu Saumu vilivyo menywa kiganja kimoja cha mkono, twanga vilainike,

halafu kamulia limao moja au mawili. Acha vikae angalao kwa masaa 2 halafu weka maji

salama, ya uvuguvugu ndio mazuri. Chuja na unywe.

Fanya hivyo mara 2 kwa siku, halafu angalau siku 3 au siku 7 kwa uhakika zaidi.

Huo mpango pia inatibu typhoid sugu. Homa ya Matumbo hii dawa.

Pia kunywa maji mengi ya Uvuguvugu ili kuondoa sumu mwilini.

Dawa za asili kama vitunguu swaumu na malimao hazina side effects. Of course hivi ni vyakula​
 
ukwel ndugu mzizimkavu utasema sana ila tujiulize kwann nchi yetu kwa uchafu ndo no one?wizara inatafuta dawa wakati vyanzo vya mmbu hawajamaliza huu ni ujinga....tufanye mazingira safi haukuna haja ya hzo ndoto zao zillizofanyika jagwan wakazalisha mmbu wenye nguvu na uzito kama inzi ikawa kero mhimbili na sisi wa jangwan lol...tumezid kwa uchafu amao ndo chanzo cha mmbu
 
Back
Top Bottom