Malaria yapata Chanjo na WHO imeithibisha, utafiti ulianza mwaka 1980


Hakuna cha kuogopa kuwa zombi
 
...Ya covid 19 utafiti wake ulikuwa ni wa miaka mingapi??
 
Nayo iwe hiari, kwanini wasitengeneze dawa ya kuangamiza mbu kote duniani au kuwafanya wasizaliane!?
 
Wanakuja kivingine,
Sasa tuone nani mjanja,
Ubavu wa kushindana nao hatuna
 
Miaka yote walikuwa na vidonge, ukivinywa hupati malaria. Wanapewa watu kabla ya kusafiri Africa
Miaka yote wamekuwa na vidonge, ukinywa hupati malaria " malaria prophylaxis". Hii hunywa watubkabla ya kusafiri Africa.
 
Nashangaa hii ya uviko19 umewahishwa au kwa sababu watu waungwe kweny mifumo yao ya kidunia na kishetwani!??
 
Nayo iwe hiari, kwanini wasitengeneze dawa ya kuangamiza mbu kote duniani au kuwafanya wasizaliane!?
Hiyo itengeneze wewe,wao wametengeneza chanjo,mgawanyo wa majukumu na wewe tengeneza yako uitakayo kwa idea yako.
 
Mwongo mkubwa wewe katika hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…