π€£π€£π€£Kwa nini 'asichanjwe' mbu badala ya biandamu?
Siku hizi ujanjaujanja umeingia mpaka kwa wazungu, usikute wamepandikiza vitu vyao humo kama kawa
..UN-WHO wameidhinisha chanjo ya ugonjwa wa Malaria.
Kwakuwa hajatokea aliye amua kununua akili zao wataikubali hii.
..UN-WHO wameidhinisha chanjo ya ugonjwa wa Malaria.
Ni miaka 41Wenzetu hawa hawakati tamaa, finally wamegundua chanjo baada ya miaka 31
Wakileta ya ukimwi si itakua ni fungulia mbwa sasa!! Yaani kuna uwezekano mkubwa wa dunia kurudi enzi za Sodoma na Gomora!Naenda kulala wakileta ya Ukimwi mnishitue.
Wakati mwingine muwe mnaficha uelewa wenu, kwani kuni kuna kauli mtu unaitoa , tayari unakuwa ume expose uelewa wako wa mambo!!sayansi ya miaka ya 80, ni sawa na hii ya sasa?halafu wazungu kwao malaria sio inshu kabisa, ndio uwategemee hao hao watumie rasilimali zao kwa haraka kutafuta chanjo ya malaria wewe muathirika umekaa tu, ukisubilia!!hiyo COVID 19, kama isingewasumbua sana wao huenda hadi sasa chanjo ingekuwa bado kuanza kutumika hata kama ingekuwa imeshaonyesha mafanikio mazuri, unadhani ni pesa kiasi gani kimetumika kwenye tafiti za COVID 19?!!Na hata hayo masaa 40, ni yapi hayo ?acheni maneno ya vijiweni.Chanjo ya malaria miaka 40+ chanjo ya uviko masaa 40,