Pre GE2025 Malasusa hakuanza leo kuwa mwana CCM, alishajitenga na dini akabakia kwenye siasa

Pre GE2025 Malasusa hakuanza leo kuwa mwana CCM, alishajitenga na dini akabakia kwenye siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Hakuna anayeshangaa kwa matamshi ya Askofu Malasusa leo hii

Tulikuwa tunamuona Malasusa anashiriki vikao na Jiwe na anapewa airtime ya kutosha kuwasema wapinzani hadharani.

Hivyo Leo ulikuwa ni kuhitimisha na kwaeleza wafuasi wake kuwa yupo pale kuhubiri mambo ya ccm.

Kwa hizi tabia Romani katoliki wataendelea kujivunia wafuasi wengi sana maana wana msimamo thabiti.
 
Hakuna anayeshangaa kwa matamshi ya Askofu Malasusa leo hii

Tulikuwa tunamuona Malasusa anashiriki vikao na Jiwe na anapewa airtime ya kutosha kuwasema wapinzani hadharani.

Hivyo Leo ulikuwa ni kuhitimisha na kwaeleza wafuasi wake kuwa yupo pale kuhubiri mambo ya ccm.

Kwa hizi tabia Romani katoliki wataendelea kujivunia wafuasi wengi sana maana wana msimamo thabiti.View attachment 2878699
Yule mzee falla sana.
Anaikula Lutheran kijanja kwa kulipwa na ccm
 
Tatizo ni Shoo aliwaaminisha CHADEMA kuwa KKKT ni tawi la CHADEMA. Mkanyang'anye V8 mliyompa kama takrima kwa sapoti haramu aliyowapa. Malasusa amekataa kutumika kisiasa.
 
Back
Top Bottom