Pre GE2025 Malasusa hakuanza leo kuwa mwana CCM, alishajitenga na dini akabakia kwenye siasa

Pre GE2025 Malasusa hakuanza leo kuwa mwana CCM, alishajitenga na dini akabakia kwenye siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna anayeshangaa kwa matamshi ya Askofu Malasusa leo hii

Tulikuwa tunamuona Malasusa anashiriki vikao na Jiwe na anapewa airtime ya kutosha kuwasema wapinzani hadharani.

Hivyo Leo ulikuwa ni kuhitimisha na kwaeleza wafuasi wake kuwa yupo pale kuhubiri mambo ya ccm.

Kwa hizi tabia Romani katoliki wataendelea kujivunia wafuasi wengi sana maana wana msimamo thabiti.View attachment 2878699
Kwan kuna aliewahi kushangaa Askofu shoo kuwa mwanachadema na bagonza mshabiki wa siasa alie makini sana maoni yake yakizingatia zaidi upepo wa siasa unapoelekea?🐒

mbona unahemka?

au ndio mkuki kwa ngurue kwa binadamu mchungu 🐒

mlijisahau kwamba uaskofu ni wa milele 🐒
 
Leo mtalala na viatu .maana raha yenu na mabi yenu ya kishetani mnatakaga kuona serikali yetu na viongozi wetu wakishambuliwa na kutukanwa bila sababu. Sasa mkiona mambo yamekuwa kinyume chake na nje na matarajio yenu mnaanza kuweweseka kama wagonjwa. Kaeni kwa kutulia hivyo hivyo.
 
Mwaka huu mtakufa kwa presha maana hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuunga mkono ujinga wa CHADEMA. Kaeni kwa kutulia tu mpaka akili ziwarudi.
 
Back
Top Bottom