Pre GE2025 Malasusa hakuanza leo kuwa mwana CCM, alishajitenga na dini akabakia kwenye siasa

Pre GE2025 Malasusa hakuanza leo kuwa mwana CCM, alishajitenga na dini akabakia kwenye siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wenye hasira wanajulikana.Usisahau kuja Jumatano tunakungoja kwa hamu tukifanya usafi.
Unamkaribisha Ngariba kwenye sherehe za jando?
 
Kiongozi wa dini kuwa mwanachama wa chama sio tatizo,tatizo ni ile hali ya kua na mahaba,mahaba Niue,All in all KKKT na BAKWATA ni matawi ya chama fulani cha kisiasa
Malasusa ana mahaba na ccm
 
Malasusa ana posho kupitia ccm ,ndiyo maana haoni sababu ya kuwa upande wa wananchi na wapenda haki.
 
Unamkaribisha Ngariba kwenye sherehe za jando?
Kwenye keyboard kila mtu ni ngariba.Tuma location jumatano tuamini kwamba wewe ni ngariba na sio kigoli tu.
Mdomo siku zote huponza kichwa.Bado saa 48 tu.
 
uko sawa mkuu,
Dr. Malasusa is always positive towards CCM and Dr. Shoo is very positive towards chadema what's wrong 🐒
Mkuu my point of contention with Malasusa ni upotoshaji anaoufanya Kanisani, madhabahuni! Mimbarini akiwa amevaaa mavazi ya ukuhani! Hilo tu!
 
Mkuu my point of contention with Malasusa ni upotoshaji anaoufanya Kanisani, madhabahuni! Mimbarini akiwa amevaaa mavazi ya ukuhani! Hilo tu!
Jazia nyama madai yako.Toa mifano ya upotoshaji mimbarini alioufanya Askofu Malasula.
 
Mkuu my point of contention with Malasusa ni upotoshaji anaoufanya Kanisani, madhabahuni! Mimbarini akiwa amevaaa mavazi ya ukuhani! Hilo tu!
Kwan shoo alikua amevaa mavazi ya kihuni alipokua anamkumBatia Mbowe na chadema? Kwani ilikua gizani au mlikua mmezongwa na mapepo hamkuona 🐒

bado nachelea kusema haya ni madhara ya kujihesabia haki na hukumu angali bado tunaishi...

mkuki kwa ngurue kwa binadamu mchungu 🐒
 
Hakuna anayeshangaa kwa matamshi ya Askofu Malasusa leo hii

Tulikuwa tunamuona Malasusa anashiriki vikao na Jiwe na anapewa airtime ya kutosha kuwasema wapinzani hadharani.

Hivyo Leo ulikuwa ni kuhitimisha na kwaeleza wafuasi wake kuwa yupo pale kuhubiri mambo ya ccm.

Kwa hizi tabia Romani katoliki wataendelea kujivunia wafuasi wengi sana maana wana msimamo thabiti.View attachment 2878699
Huyu anafaa achukue nafasi ya Kinana pale CCM
 
IMG-20240123-WA0086.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom