Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Mkuu to correct you. First, Malasusa hajaanza leo kuwa darling wa CCM , infact he is a CCM cadre in religious clothings. Two, mimi ninatofautiana na Malasusa kwa kupotosha kuwa maandamano ni machafuko, which is completely false!Uchungu wa mtoa bandiko dhidi ya malasusa kuiunga mkono serikali kumenifanya nichokoze nyuki kwa mbali, tena kwenye kajambo kadogo kama haka unakokajibu wewe......
Askofu Dr. Shoo was a darling of Chadema katika uongozi wake wote politically speaking, hiyo haikua tatizo right?
Kuna tatizo gani Askofu Dr Malasusa kuwa darling wa serikali ya CCM right now?
Au ndio ile mkuki kwa ngurue kwa binadamu mchungu