Malasusa unachoifanyia Dayosisi yako Mungu atakulipa

Kuna mwingine alikua askofu dayosisi ya kaskazini mashariki aliua hadi chuo kikuu....na huku sharikani wahesabu sadaka kanisani wanaiba sadaka zetu za ahadi kwenye bahasha!
 

Itakua umetumwa
 

Umeeleza vizuri sana huyu ana laana sasa atuambie amesaidiwa nini kwa kumbilia kwenye mitandao KKKT lina utaratibu mzuri wa utunzaji fedha na zinakaguliwa na wakaguzi mbali na kusomewa kwa washarika mapato na matumizi kila robo ya mwaka na washarika hujadili hiyo ripoti kwa uwazi unaitwa mkutano mkuu wa usharika sasa mleta mada badhani hata kanisani haendi na ana chuki binafsi Hata kama kuna deni dhambi iko wapi kanisa gani ambalo halina michango kwa waumini wengine hutoa hata laki tano kwa kuombewa tubu umekosa sana
 
Haijulikani ni deni limetokana na nini. Hatukupewa kabisa nafasi ya kuhoji,. Yani imepigwa blaa blaa tu na kuambiwa tuchangie kulipa hilo deni
Yalitokea Jimbo la Morogoro RC likiwa na Mkude, kumbe jamaa amejengea Nyumba zake Dar na zingine ikasemekana amejengea hawara zake, Vatcan ilipojua ikamweka benchi
 

Kwakuwa umemjibia mleta mada hapa basi nadhani hii ni sehemu mwafaka kutolea maelezo hiyo fedha imetumika kwa lipi, huenda ikawa njia salama zaidi kwa mleta maada, amesema wazi huko kikaoni hawakuruhusiwa kuhoji isipokuwa blabla nyingi, kutokana na hali hiyo ni wengi wanatamani kujua ukweli
 
Wewe nimekwambia kuna vitu vingi sana hujui!
 
umeleta mada nzuri sana ila ushatuhukum Wachagga tu wezi. kwahyo ngoja tukae pemben labda wasio Wachagga watakupa jibu unalotaka.
 
Sadaka za KKKT ninazotoa ni 3 tu, hata uhubiri vipi sitoi zaidi
1. BAHASHA YA AHADI
2.BAHASHA YA IMARISHA USHARIKA
3. BAHASHA YA SHUKRANI/FUNGU LA KUMI

Hizo sadaka nyingine wahitaji ni wengi sana, wacha nipeleke huko nitabarikiwq pia
 
But the Bible says,the wisdom of men is foolishness before GOD.
Too judgemental if not egocentric! Additionally, negativity is a vague, fluid, cloudy and slippery term. It usually depends on one's world outlook.
 
Too judgemental if not egocentric! Additionally, negativity is a vague, fluid, cloudy and slippery term. It usually depends on one's world outlook.
The word of GOD has no outlook like news papers and magazines,it rebukes and it heals,not whatsoever.
 
Kiongozi kwani kila kitu ni cha kupeleka mitandaoni? Mengine si maliza katika ngazi zenu? Kuyaleta hapa unaongeza faida kwa kanisa lako? Huo mchango mmelazimishwa?
Hii ni nidhamu ya uoga, hutaki ukweli usemwe..

Am sorry to say this watu kama nyie ndio mnachelewesha maendeleo
 
Kiongozi kwani kila kitu ni cha kupeleka mitandaoni? Mengine si maliza katika ngazi zenu? Kuyaleta hapa unaongeza faida kwa kanisa lako? Huo mchango mmelazimishwa?
Uko sahihi kabisa, yapo mambo ya kuyaleta kwenye jukwaa na mengine ni kuyapeleka yanakohusika. Kwa mfano huyu aliyelileta hapa,l mpaka anaitwa kushirikishwa jambo kubwa kama hili ina maana naye ni kiongozi wa kanisa, anafahamu taratibu za kufuata pale inapotokea mambo magumu kama haya. Mungu atujaalie hekima ya kupambanua vema mambo yanayotukabili.
 
Maisha haya bana

Vp mkuu alikopa pesa sehemu halafu akafanya biashara imebuma?

Maana dini hazifanyi buashara zenyewe Kaz yake kutupa neno Sasa hyo hasara imetokana na nn?

Na nyinyi msipelekwe pelekwe Kama mambuzi lazima muhoji

Huyo malasusa ipo siku atawaachia manyoya huko udayosisini

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ndio maana nimesimama kidogo kwenda kanisani,sadaka yangu nitaendelea kuitoa kwa watoto yatima na wasiojiweza.
Eeh! Mungu nisaidie na unionyeshe njia ya kweli.
Karibu TAG. Tunatembea na BWANA!
 
Wangetwambia deni linatokana na nini hungeona hii habari hapa!

Kuficha ficha hivi inaonesha kuna kitu nyuma ya pazia
 
The word of GOD has no outlook like news papers and magazines,it rebukes and it heals,not whatsoever.
That is you and your teachings. It doesn't apply to all the people here on earth. We are taught differently and therefore, we don't have the same definition of the metaphysical worlds.
 
Wangetwambia deni linatokana na nini hungeona hii habari hapa!

Kuficha ficha hivi inaonesha kuna kitu nyuma ya pazia
Inawezekana kukawa na kitu lakini kuleta hapa sidhani kama ufumbuzi utapatikana, ninachokiona hapa naona wengi wanapata hasira wanakwazika usingeleta hapa wangeendelea kuwa na amani.
 
KKKT ina upumbav mwingi sana, mimi ndio maana huwa nikienda church nasikiliza mahubiri sadaka huwa sitoi zaid ya buku. Kanisa wamelifanya kitega uchumi wanakula tu pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…