Malawi nao wapiga stop Kenya airways

Malawi nao wapiga stop Kenya airways

Kumbe hapo naelewa
Ila kwa hadhi na thamani ya mkapa kwao haokuwa haki kumtuma seneta wa kaunti
Mawaziri kadhaa walitumwa. Rais wetu mstaafu Kibaki ni mgonjwa asingeweza kuja. Endeleeni na mikwara zenu za kutoelewa mambo.
 
Malawi wamepiga stop kivipi, kwani kingereza ndio hamuelewi au vipi, wao walishapiga stop ndege zote na hapa wamesema hawapo tayari kufungua hadi hali ya corona ibadilike, hehehe mnavyojitekenya.
Kwani wakati mnaomba hamkujua kuwa kuna korona!?

Ni namna tu ya kuwapiga chini
 
Back
Top Bottom