Malawi: Rais amfuta kazi Waziri wa Kilimo na Naibu wake

Malawi: Rais amfuta kazi Waziri wa Kilimo na Naibu wake

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Rais Lazarus Chakwera amefanya maamuzi hayo kwa Lobin Lowe na Naibu Waziri Madalitso Kambauwa Wirima sababu ikiwa ni usimamizi mbovu na uzembe.

Wizaŕa hiyo inashutumiwa kwa kuchelewesha utekelezaji wa mpango ambapo wakulima wa vijijini wanapatiwa mbolea ya ruzuku na pembejeo za kilimo.

Lowe hajazungumza chochote kuhusu shutuma hizo, huku nafasi yake ikichukuliwa na Sam Kawale ambaye ameteuliwa.
---

Malawi president fires Agriculture Minister
Malawi's President Lazarus Chakwera has fired Agriculture Minister Lobin Lowe and his deputy Madalitso Kambauwa Wirima over what he termed "incompetence and gross negligence".

President Chakwera made the announcement in a televised address on Tuesday evening.

The agriculture ministry is accused of botching the implementation of a programme in which Malawian rural farmers are provided with subsidised fertiliser and farm inputs.

Mr Lowe has not commented on the accusations.

The president has since appointed Sam Kawale, formerly the lands minister, to replace Mr Lowe.

The president said more changes in his cabinet would be coming in due course.

Source: Malawi24
 
Wanastahili kufukuzwa, wameuza sana mbolea kwa Waswahili. Ilifikia kipindi mbolea yao ikawa inanunuliwa Kyela inarudishwa Malawi kwa bei ya juu sana
 
Huo ndio uwezo wa waafrika kufukuza tu ila hatua za sheria ahaaaah ni kwa wezi wa kuku tu
 
Unauhakika gani sheria hazikufuatwa?
Ingekuwa zimefuatwa saa hii wangekuwa lupango, labda iwe sheria za kwao ni ukiiba unafukuzwa na haushtakiwi, lakiniiiiiii

Hata mimi naweza kukuuliza una uhakika gani kuwa sheria zimefuatwa?
Lakini sikuulizi
 
Back
Top Bottom