Malawi wameweza, Tanzania tunafuatia

Malawi wameweza, Tanzania tunafuatia

Mgombea wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Malawi (MCP) Dr. Lazarus Chakwera anaongoza kura kwa zaidi ya 60% dhidi ya Prof. Peter Mutharika anayetakiwa kuondoka Ikulu ya Malawi wakati wowote kuanzia sasa.

Hatua hii ni baada ya Mahakama kutengua Ushindi wa hujuma uliofanywa na Serikali ya Chama tawala cha DPP chini ya Prof. Peter Mutharika anayeondolewa Ikulu.

Malawi wamemaliza Kazi yao!

Muda ni hakimu mzuri, watanzania tujiandae kuyapokea mageuzi ya kiuongozi.
We don't share history , kamuzu Banda na Nyerere walijenga misingi tofauti.
 
Hilo ndiyo tatizo lkn amini nakwambia, pitia ile clip ya kilwa juzi wakati ZZK anakatwa na kupakiwa kwenye pt watu walivyo kuwa wamepandisha mzuka, ilibakia kidogo kingewaka
Kwanza hakuna watanzania wenye moyo wa kuandamana kudai tume, wengi wanaamini kazi ya kudai tume huru ni ya wanasiasa.
 
Kwa kizazi kinachopita wengi wao wanaogopa sana mabadiliko, ila kwa kizazi hiki cha sekondari za kata hakika tutegemee kuyaona mabadiliko yawe ya kulazimisha au ya hiari
Wananchi wa Tanzania hawajui wanataka nini?
Au
Hawajui aina ipi ya uongozi wanautaka
 
Hilo ndiyo tatizo lkn amini nakwambia, pitia ile clip ya kilwa juzi wakati ZZK anakatwa na kupakiwa kwenye pt watu walivyo kuwa wamepandisha mzuka, ilibakia kidogo kingewaka
Hiyo mizuka ya ku beep haisadii chochote, watu wanatakiwa kujitoa kweli kweli
 
Na bado mnaunga jitihada utadhani nchi ndiyo inapata uhuru
 
Co kwa hii nchi iliyojaa wajinaga na wale wanaoitwa wasomi kupigania matumbo yao japo kuna msemo msemo unasema "Dawaamul haal minal muhaal"
 
Nawatamani wamalawi...tatizo sisi tunawabembeleza watawala wafwate sheria na katiba wananchi wamalawi hawana muda huo.
 
Mgombea wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Malawi (MCP) Dr. Lazarus Chakwera anaongoza kura kwa zaidi ya 60% dhidi ya Prof. Peter Mutharika anayetakiwa kuondoka Ikulu ya Malawi wakati wowote kuanzia sasa.

Hatua hii ni baada ya Mahakama kutengua Ushindi wa hujuma uliofanywa na Serikali ya Chama tawala cha DPP chini ya Prof. Peter Mutharika anayeondolewa Ikulu.

Malawi wamemaliza Kazi yao!

Muda ni hakimu mzuri, watanzania tujiandae kuyapokea mageuzi ya kiuongozi.

Ni Jambo jema kama Upinzani utaibuka Mshindi huko, ila kuyafananisha ya Malawi na Tanzania ni Kumfananisha Lionel Messi na Ditram Nchimbi.
 
Iliwachukua wananchi wa Malawi miezi kama 3 kupigania tume huru kwa maandamano ya hatari mpk wakaipata.

Sasa hapa tunajipa moyo wkt boss wa NEC ni type za wakina Jecha ambao wakistaafu wanaenda kugombea urais kupitia CCM.

TUACHE KUJIDANGANYA.
Tanzania uchaguzi huwa unafanyika kwa uhuru na uwazi ndio maana kila chama kinakuwa na wakala anayelinda kula kwa ngazi zote.
 
Usifananishe Tanzania na vitu vya hovyo

Unajua kuwa Ccm ndio chama bora zaidi Africa ! na cha pili duniani kwa ubora !
Chuo kikuu gani ulisoma Politica Science na mimi nitume application mkuu. Maana anona unweka very nice substances / material hapa jamvini.
Hongera sana kwa ufahamu murua kabisa.
 
Back
Top Bottom