We don't share history , kamuzu Banda na Nyerere walijenga misingi tofauti.Mgombea wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Malawi (MCP) Dr. Lazarus Chakwera anaongoza kura kwa zaidi ya 60% dhidi ya Prof. Peter Mutharika anayetakiwa kuondoka Ikulu ya Malawi wakati wowote kuanzia sasa.
Hatua hii ni baada ya Mahakama kutengua Ushindi wa hujuma uliofanywa na Serikali ya Chama tawala cha DPP chini ya Prof. Peter Mutharika anayeondolewa Ikulu.
Malawi wamemaliza Kazi yao!
Muda ni hakimu mzuri, watanzania tujiandae kuyapokea mageuzi ya kiuongozi.
Kwanza hakuna watanzania wenye moyo wa kuandamana kudai tume, wengi wanaamini kazi ya kudai tume huru ni ya wanasiasa.
Wananchi wa Tanzania hawajui wanataka nini?
Au
Hawajui aina ipi ya uongozi wanautaka
Wewe unatawaliwa na mnyasa Mbowe!Mimi siyo zuzu kama wewe
Hiyo mizuka ya ku beep haisadii chochote, watu wanatakiwa kujitoa kweli kweliHilo ndiyo tatizo lkn amini nakwambia, pitia ile clip ya kilwa juzi wakati ZZK anakatwa na kupakiwa kwenye pt watu walivyo kuwa wamepandisha mzuka, ilibakia kidogo kingewaka
Neno Mnyasa halikuwa na ulazima wa kutumika, wewe mnyarwanda una shida gani ?Wewe unatawaliwa na mnyasa Mbowe!
Cha kwanza Duniani ni Chama gani?Usifananishe Tanzania na vitu vya hovyo
Unajua kuwa Ccm ndio chama bora zaidi Africa ! na cha pili duniani kwa ubora !
Mgombea wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Malawi (MCP) Dr. Lazarus Chakwera anaongoza kura kwa zaidi ya 60% dhidi ya Prof. Peter Mutharika anayetakiwa kuondoka Ikulu ya Malawi wakati wowote kuanzia sasa.
Hatua hii ni baada ya Mahakama kutengua Ushindi wa hujuma uliofanywa na Serikali ya Chama tawala cha DPP chini ya Prof. Peter Mutharika anayeondolewa Ikulu.
Malawi wamemaliza Kazi yao!
Muda ni hakimu mzuri, watanzania tujiandae kuyapokea mageuzi ya kiuongozi.
Tanzania uchaguzi huwa unafanyika kwa uhuru na uwazi ndio maana kila chama kinakuwa na wakala anayelinda kula kwa ngazi zote.Iliwachukua wananchi wa Malawi miezi kama 3 kupigania tume huru kwa maandamano ya hatari mpk wakaipata.
Sasa hapa tunajipa moyo wkt boss wa NEC ni type za wakina Jecha ambao wakistaafu wanaenda kugombea urais kupitia CCM.
TUACHE KUJIDANGANYA.
Chuo kikuu gani ulisoma Politica Science na mimi nitume application mkuu. Maana anona unweka very nice substances / material hapa jamvini.Usifananishe Tanzania na vitu vya hovyo
Unajua kuwa Ccm ndio chama bora zaidi Africa ! na cha pili duniani kwa ubora !
Mmawia nyinyi hamuwezi fanya lolote yani kiufupi mpaka miaka ya mbeleni huko labda 2300Siku kikiwaka ndiyo utajua uoga wao