Malawi wameweza, Tanzania tunafuatia

Usifananishe Tanzania na vitu vya hovyo

Unajua kuwa Ccm ndio chama bora zaidi Africa ! na cha pili duniani kwa ubora !
Afrika inaamka walianza Kenya, wakafata Zambia, ikafata DRC, baadae Malawi, S.A wakamuondoa mwenyekiti wa chama ANC , Zimbabwe wakamwengua Mugabe, Gabon Yahya Jammeh out, guess who is next??
 
Habari njema hizi.......Huku OCt 2020 tunampasua JIWE.
 
Usifananishe Tanzania na vitu vya hovyo

Unajua kuwa Ccm ndio chama bora zaidi Africa ! na cha pili duniani kwa ubora !

Ukiona umefikia hatua ya kuona mwenzako hafai, basi ujue kuwa wewe hufai mara dufu yake.
 
Afrika inaamka walianza Kenya, wakafata Zambia, ikafata DRC, baadae Malawi, S.A wakamuondoa mwenyekiti wa chama ANC , Zimbabwe wakamwengua Mugabe, Gabon Yahya Jammeh out, guess who is next??
Probably Tanganyika
 
Aisee
 
Naona bado upo kwenye hangover ya kitendawili cha Membe
Joyce lazima atuambie Mbowe alifanya nn mguu wake, then you may proceed with ur dream, sbb mnaweza kupewa Ikulu mkavunjana miguu na mikono wenyewe just overnight alafu mletee taifa matatizo..
 
Huko Malawi kama hivi:

Former Church President And Opposition Leader Wins Presidential Elections

Enyi kina Mbowe, Zitto, Maalim, Lipumba, Mbatia, Membe, na wote mbona mnatunyima raha kihivyo?

Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.

Si mwaona mambo ya Malawi hayo? Mbona wanapigika sana tu?

Chonde chonde ndugu zetu tuwekeni ubinafsi pembeni.

Tuweke maslahi ya Tanzania mbele!

Mbona penye nia pana njia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…