Malecela: kuweka mihula kwa wabunge ni kukiuka Demokrasia

Yale manenno nilyoku-define hapo juu siyo matusi. Hebu kaangalie kamusi kwanza. Rejea maneno uliyoandika "hicho kizee kinasema hivyokutokana na kukosa nafasi ya kuwa mbunge kule bongo?". Only somebody who has got no ethics, primitive, etc can write such. Wewe siyo mstaarabu kwa lugha uliyotumia. Unavyo-m-advise Mr. Malecela aachie ubunge ungetumia lugha inayoeleweka; you need to learn wisdom!!
 


Malecela bwana kwenye Nchi alizo zitaja ukiondoa Uchina haki za binadamu , demokrasia ya kweli , rushwa na uhujumu wa vinapingwa na adhabu kali hutolewa kuanzia kwa waziri hadi mtu wa kawaida mbona Malecela asimwambia Rais kuchukua miafano ya nchi hizo kuendesha na watuhumiwa wote kufika mbele ya sheria mara moja ? Ama uzuri wa nchi hizo huonekana wakari wabunge anataka kuzeekea bungeni ?
 
Pole sana!! Hiyo ndiyo limit yako ya kufikiria, that is what defines us, and classify as we are. Ukiona vijana wanaanza kusema ati uchawi, anapesa etc basi hapo ujue kuwa umeishiwa. Kwanza lazima muelewe kuwa ubunge siyo rahisi kama mnavyofikiria. If you think you are edicated and you have the ability to lead you have to do your homework, no free coupons. You must jot your strategy. Lazima upange mkakati. Wale wanaoshinda Ubunge siyo kuwa wamesoma, au wana mafisadi pembeni, vilevile huwa na mikakati. Ukiona wewe kila wakati hupati na wengine wanapata ujue wewe unakosa mikakati fulani. Do your homework! Msipende kulaumu wengine kwa failure zenu.
 

Wewe humjui FMES? anamjua kila mtu, kuanzia Kuhani, Fundi Mchundo mpaka Bluray.

Jamaa anakaa chini na kukupachika personality ya mtu yeyote anayemuota, then anakuandikia a lengthy profile mpaka utacheka. Kashakuja na story kwamba Fundi alimkimbia kimada katika ajali ya gari, Kuhani kaonekana kwenye basement DC, halafu akajisahau, akarudia story hiyo hiyo kwa Bluray.

Huyo ndiye FMES, ana force personality yoyote anayotaka.

Halafu haya mambo ya kuandika vitu personally identifiable ni against the rules hapa JF.
 

kwi kwi kwi kwi kwi kwi.............Mkuu Kiranga.....usinivunje mbavu zangu........kwi kwi kwi kwi.........duuh what a morning!
 

Na wewe ulimbaka housegirl wenu ukamjaza na mimba halafu ukampa hela akaenda kuitoa. Ulitumia jina la mzee wako ambaye ni kigogo wa CCM kukwepa kuswekwa jela. Nakujua sana wewe.
 
Na wewe ulimbaka housegirl wenu ukamjaza na mimba halafu ukampa hela akaenda kuitoa. Ulitumia jina la mzee wako ambaye ni kigogo wa CCM kukwepa kuswekwa jela. Nakujua sana wewe.

I am telling you, you gotta love it.
 
Na wewe ulimbaka housegirl wenu ukamjaza na mimba halafu ukampa hela akaenda kuitoa. Ulitumia jina la mzee wako ambaye ni kigogo wa CCM kukwepa kuswekwa jela. Nakujua sana wewe.

na wewe nakujua sana na yule ndugu yako aliyeko Sweden.........ulimshupalia jamaa wa 'Punjab" kule bcs........mpaka basi............kwi kwikwi kwi kwi
 
- Message sent na sio siri imefika, mengine ni kelele za mlango njoo facebook nikupe msaada, sijakutaja lakini umerukia mwenyewe kwa sababu unajua ukweli, pole sana ila niko njiani kwenda huko bondeni Mbeya hujachelewa!

- Na kama kawaida huwezi kukosa vimbwenelehi visivyojua kitu ila kurukia rukia tu wasiyoyajua na kuponza wengine, wewe ni binadam gani wazazi wako wameondoka duniani wala hujali, ndugu zako karibu wote wameondoka wala hujali, no wonder maisha yankukalia vibaya sana huko uliko, pole sana sasa msaada ndio huu umewadia, nitafute kule facebook maana hapa unapoteza muda wako bure tu kushindana na ukweli!

Mungu Akusaidie Sana Mkuu, upate maarifa ya kukumbuka nyumbani! siku moja! badala ya kutuchukia tunaokuletea ujumbe wa familia yako! Wewe nitukane mimi nitaendelea kukusaidia ili umkumbuke Mungu!


Peace and out!

FMEs!
 

- Huruma tupu, wewe mbona unajali wazazi wako lakini unataka kumpoteza mwenzako, usinichokoze mkuu maana itakuwa aibu hapa you know better!

FMEs!
 
- Huruma tupu, wewe mbona unajali wazazi wako lakini unataka kumpoteza mwenzako, usinichokoze mkuu maana itakuwa aibu hapa you know better!

FMEs!

Hahahaha,

Mkuu you are hilarious, just hilarious.

I tell you siku nikiwa bored FMES akiwa JF hakosi vituko.
 


Sikuwa najua hilo !!!
 
Hahahaha,

Mkuu you are hilarious, just hilarious.

I tell you siku nikiwa bored FMES akiwa JF hakosi vituko.

- Off course either way, ukitaka hoja sina tatizo na ukitaka personal as you always do ndio kabisaa ninajibu mapigo, uamuzi wa kusuka au kunyoa ni wako sio wangu! Ila haogopwi mtu hapa!

FMEs!
 
hamna cha huruma wala nini........anza tu Mkuu haina shida..........

- Kwa kawaida huwa ninakuheshimu sana mkuu, ila after this sijui itakuwaje mkuu! Lakini ninashukuru kwamba umenionyesha mapema kabla hatujafika mbali.

FMEs!
 
- Kwa kawaida huwa ninakuheshimu sana mkuu, ila after this sijui itakuwaje mkuu! Lakini ninashukuru kwamba umenionyesha mapema kabla hatujafika mbali.

FMEs!

Usipomheshimu atapungua nini mazee? nninadhani utakapoendelea kumheshimu nawe utahashimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…