Wewe humjui FMES? anamjua kila mtu, kuanzia Kuhani, Fundi Mchundo mpaka Bluray.
Jamaa anakaa chini na kukupachika personality ya mtu yeyote anayemuota, then anakuandikia a lengthy profile mpaka utacheka. Kashakuja na story kwamba Fundi alimkimbia kimada katika ajali ya gari, Kuhani kaonekana kwenye basement DC, halafu akajisahau, akarudia story hiyo hiyo kwa Bluray.
Huyo ndiye FMES, ana force personality yoyote anayotaka.
Halafu haya mambo ya kuandika vitu personally identifiable ni against the rules hapa JF.