Malecela: kuweka mihula kwa wabunge ni kukiuka Demokrasia

Wakuu mbona tunatoka nje ya mada????????????!!!!!!! Kama tumemaliza points si tuweke penz dauni?
 
1.Mkuu Fmes,
Sio kwamba nina jibu kwa heshima,bali ndivyonilivyo.Kama unataka kufanya Ligi na mimi , basi endelea.Ila kinachonisikitisha ni jinsi unavyowashambulia watu ambao hawana hatia.Muogope mungu ndugu yangu.
Inaniuma sana unavyomshambulia sana huyo mtani wangu wa kinyakyusa.

2.Kama una namba zake za simu na unajua mahali anapoishi, wape hao ndugu zake na wamshauri arudi nyumbani.Tanzania siku hizi kunarudika. Ni tofauti na zamani enzi za Raisi Mwinyi na waziri mkuu wake John malecela,ambapo uchumi wa tanzania ulikuwa mikononi mwa wahindi.Si unajua tena siku hizi Mkulu alituahidi maisha bora kwa kila mtanzania?Ndiyo hayo tunayaafaidi wenzie.Usimshauri kwa njia hii ya forum.Nenda kwake na ongea naye,ikiwezekana mpe ata ile ndaga fijo.I hope atakuelewa na atarudi huku nyumbani kwenye maisha bora kwa kila mtanzania.

3.Vipi na wewe utarudi lini?.Au wewe ni mzungu mweusi?.rudi basi uje umpokee mshua lile jimbo lake kwani wanasema amezeeka.Ha ha ha.Trekta lina zeeka?.Wewe si ni kijana na tena msomi na exposure yako ya US.RUDI Nyumbani.

4.Hapa nyakato-mwanza wote ni wazima.Mabula na Maduhu wote ni wazima tu na Hofu na mashaka ni juu yako uliye US. Vipi wanao hao wawili wa kwanza wa kiume na wapili huyo wa kike hawajambo?.Wasalimie sana.
 
.

Mwalimu wa FMES alikuwa na kazi kweli kweli.
Huyu Bwna ana kichwa kigumu kama jiwe.
 

Mwalimu wa FMES alikuwa na kazi kweli kweli.
Huyu Bwna ana kichwa kigumu kama jiwe.


- Bwa! ha! ha! ha! ha! Hillarious, Samwel sikuzaliwa jana mkuu anyways Message Sent + Delivered = Received. Full Stop!

Es!
 
I have my popcorn and soda ready. It's about to go down...Ogah is not backing down this time....
 
Exuper Kachenje, Dodoma

wazee hawataki utani japo hawana jipya
 
MBUNGE wa Mufindi, Joseph Mungai jana aliibua tena mjadala wa ukomo wa vipindi vya ubunge na viti maalum akieleza kuwa wanaozungumzia suala hilo, wanakwenda kinyume cha katiba inayokataza aina yoyote ya ubaguzi.

Sasa na ile ya kusema Mgombea Urais lazima uwe at least forty / 45 kama sikosei nayo si ni ubaguzi?


 

Nadhani ameghafilika au kwa makusudi (maslahi binafsi) anataka kupotosha. Kama hilo analosema ni kweli basi sheria zetu nyingi ni batili (mfano sheria inayotaka watumishi kustaafu wakifikisha umri fulani (say miaka 60)).
 
Kwa nchi changa kama ya kwetu ni lazima tubadilike, tupime Mbunge kafanya nini kwa kipindi fulani, lazima tuwe na kikomo, kama zamani haikuwa hivyo basi sasa tunataka kuwa hivyo tusiige America au Uk. Haiwezekani unakuwa Mbunge miaka ishirini na tano halafu hakuna hata dispensary jimbon kwako, barabara mbovu, hakuna watalaam wa nyanja mbalimbali, ONDOKA!!
 

- Upimo wa kazi na ukomo wa ubunge ni vitu viwili tofauti mkuu, anayepima ni nani na kwa standards zipi?

Es!
 
Pamoja na kuheshimu mawazo ya Wazee lakini wakati mwingine hoja zao hazina mashiko. Kwani katiba ni 'Msahafu' ama 'Biblia'? Pendekezo limetolewa kwa nia njema na lina mantiki kwamba uwepo ukomo katika ubunge. Ni suala la wananchi kupewa nafasi kulijadili kwa kina (ni haki yao ya kidemokrasia kufanya hivyo) na endapo itadhihirika kwamba wengi wanaliunga mkono basi Katiba irekebishwe accordingly.
 

- In the meantime ni haki ya kila mwananchi kujadili kwa kusema maoni yake and that is what is going on here, hakuna anayezibwa wala kukatazwa, binafsi siamini on ukomo wa uongozi wa ubunge ninaamini in buliding kubadili katiba ili iwe na vipengele vinavyowabana viongozi wasio na uwezo wa uongozi, meaning wananchi tuweze kuwaondoa uongozini kabla hata hawajamaliza muda wao wa uongozi,

- Kwangu ukomo is a none-ishu, the ishu ni uwezo wa uongozi, kama tumechagua kiongozi asiye na uwezo tusisubiri miaka mitano kumuondoa, aondolewe mara moja kwa kutumia vipengele vipya vya katiba, sasa na wewe una haki ya kusema maoni yako, hakuna anayemzuzia mweingine, lakini sio lazima wote tukubali ya wengine hata kama hatyaamini!!

Respect.

FMEs!
 

Mkuu, heshima kwako. Sioni mahali ambapo pameandikwa/kusemwa kwamba upo ulazima wa wote kukubali ya wengine hata kama hamyaamini.

We should always agree to differ - kukubali kutokubaliana; that is democracy. Ruksa ya watu kuendelea kuwa wabunge indefinitely kwa heshima ya uzee wakati kuna wananchi wengine wenye nguvu na uwezo kwa kushika nafasi hiyo kwa mafanikio nako si busara sana. Wazee mahali pao ni kutoa ushauri panapohitaji ushauri. Suala la ukomo is under discussion so lets keep on discussing.

Nakubaliana nawe kuhusu umuhimu wa kuwepo kwa vipengele katika katiba vitakavyowabana viongozi wazembe na wasio na uwezo kuondolewa hata kabla hawajamaliza muda wao. In doing so utakuwepo uwajibikaji na kujituma kunakohitajika na hii laisser faire attitude inaweza kuondoka.
 
Mmh! interesting thread,

lets focus priority,
 
 
Pro.J(bongo flava) alisema ukitaka kujua umuhimu wa ma-ta-ko kalia kichwa....sorry, out of topic!
 
- Ndio uzuri wa Demokrasia, kila mtu anakuwa na haki ya kusema na kusikilizwa!, kabla ya kujibiwa na wanasema wenye akili nyingi kwamba politics ni too important kuachiwa wachahe wajanja!

Respect.


FMEs!
 
Mugabe is right! na Museveni naye anafuata nyayo
 
Re: Malecela: kuweka mihula kwa wabunge ni kukiuka Demokrasia



- Hawa nao ni wabunge wa Tanzaniatunawatakia ukomo wa ubunge wao, au?

Respect.

FMEs!

Great thinker vipi bwana!!!!!....hao ni ving'ang'anizi wa madaraka, hawana tofauti na hao wabunge wasiotaka kukoma! Kisa democrasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…