Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Mkuu Fmes,- Unajua mkuu ninarudia kwamba something is not very right, maana mbona umekazana sana na hala kazee ambako kwa maneno yako sio wewe? I mean halafu mbona kwa mara ya kwanza sasa unaongea kwa heshima sana vipi kuna nini huko mkuu?
- I mean mimi mwendo wangu ni ule ule mdundo, ninasema ninasonga mbele na whatever comes kwangu ni kujibu mapigo tu, tena anytime, anywhere huwa sichokozi ila huwa ninajibu mapigo tena kiroho mbaya sana! na note this, sikuzaliwa jana!
Wasalimie sana huko Mwanza kama ulivyosema mwenye last time mkuu, Bwa! ha! ha! na hasa watoto kina maduhu, au? Bwa! ha! ha! ha! I love it!
Es!
.unajua wewe una matatizo ya kuelewa........hivi kuna sehemu mimi nimesema natetea vijana against wazee au wazee against vijana?..........ninachokataa hapa siku zote si umri wa mtu ninalokataa ni umediocre wa viongozi tulio nao...........
...........Mzee Malecela kauli zake sio end of the world........zinajadilika na ndicho wanachofanya wanaJF hapa.........kuna ubaya hapo?
Kuhusu Mateo na Butiku hao nilishasema.......ni waste of time/Losers......i don't need to go into details..........just know they are big time LOSERS.........
Hakuna aliyelazimisha hoja hapa........hoja imejengwa.........na umei-acknowledege kama moja ya matatizo tuliyonayo.........na ninarudia........independent candidates sio muarobaini wa mamatizo yetu mengi tunayo-face......isipokuwa ni moja ya steps towards solving matatizo tuliyonayo i.e. demokrasia....sasa sijui kigumu hapo kuelewa kiko wapi........
Kudai katiba ni hoja tuliyokuwa kuwanyo tangu bcs, TEF Jambo na sasa JF bado inaendelea.......na hiyo pia ni moja ya ufumbuzi wa matatizo yetu.....watu CCM (majambazi) wakaja na hoja kuwa katiba haina shida na kama kuna shida basi izibwe viraka...........majambazi CCM wakaziba kiraka kwa kwenda bungeni kunyima haki za wagombea binafsi.......DAMN......kama wewe unaona hiyo ndio sawa..........mi nakuambia.........aluta continua.........mapambano yanaendelea...........
achilia mbali akina Serukamba na washikaji zako wengine..............mimi zangu huwa sichagui..........ukichemsha..........i'm free kuongea my mind na ninavyotaka...........na sio upuuzi wa kutaja taja majina........ukifikir ndio kujenga hoja.......kutaja taja/kurudia rudia majina sio ujengaji hoja........
Mimi sio mtu wa kusema ........'hold on fire"........oohh mara yaishe.........no way........i will defend my opinion unless convinced otherwise..........
NOTE: hatuwezi ku-solve matatizo yetu kwa kufunika kichwa huku mwili mzima uko exposed............
1.Mkuu Fmes,
Sio kwamba nina jibu kwa heshima,bali ndivyonilivyo.Kama unataka kufanya Ligi na mimi , basi endelea.Ila kinachonisikitisha ni jinsi unavyowashambulia watu ambao hawana hatia.Muogope mungu ndugu yangu.
Inaniuma sana unavyomshambulia sana huyo mtani wangu wa kinyakyusa.
2.Kama una namba zake za simu na unajua mahali anapoishi, wape hao ndugu zake na wamshauri arudi nyumbani.Tanzania siku hizi kunarudika. Ni tofauti na zamani enzi za Raisi Mwinyi na waziri mkuu wake John malecela,ambapo uchumi wa tanzania ulikuwa mikononi mwa wahindi.Si unajua tena siku hizi Mkulu alituahidi maisha bora kwa kila mtanzania?Ndiyo hayo tunayaafaidi wenzie.Usimshauri kwa njia hii ya forum.Nenda kwake na ongea naye,ikiwezekana mpe ata ile ndaga fijo.I hope atakuelewa na atarudi huku nyumbani kwenye maisha bora kwa kila mtanzania.
3.Vipi na wewe utarudi lini?.Au wewe ni mzungu mweusi?.rudi basi uje umpokee mshua lile jimbo lake kwani wanasema amezeeka.Ha ha ha.Trekta lina zeeka?.Wewe si ni kijana na tena msomi na exposure yako ya US.RUDI Nyumbani.
4.Hapa nyakato-mwanza wote ni wazima.Mabula na Maduhu wote ni wazima tu na Hofu na mashaka ni juu yako uliye US. Vipi wanao hao wawili wa kwanza wa kiume na wapili huyo wa kike hawajambo?.Wasalimie sana.
Mwalimu wa FMES alikuwa na kazi kweli kweli.
Huyu Bwna ana kichwa kigumu kama jiwe.
MBUNGE wa Mufindi, Joseph Mungai jana aliibua tena mjadala wa ukomo wa vipindi vya ubunge na viti maalum akieleza kuwa wanaozungumzia suala hilo, wanakwenda kinyume cha katiba inayokataza aina yoyote ya ubaguzi.
Mungai mmoja wa wabunge wenye umri mkubwa na muda mrefu katika bunge hilo, alitoa kauli hiyo juzi bungeni mjini Dodoma wakati akichangia azimio la bunge kuridhia itifaki ya jinsia na Maendeleo ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ya mwaka 2008.
Hatua hiyo ya Mungai inaashiria kuwajibu wale wanaopendekeza kuwepo kwa ukomo wa vipindi vya ubunge, akiwemo aliyeibua mjadala huo, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Pinda alishauri ukomo wa ubunge uwe miaka 15.
Pinda aliibua mjadala huo, alipokuwa akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari hivi karibuni jijini Dar es Salaam na kutaja mali zake.
"Yaliyo katika itifaki hii tayari yamo katika Katiba yetu na nina uhakika kabisa yamo kwa sababu nilikuwa mjumbe wa bunge maalum la Katiba lililopitisha Katiba hii, mwaka 1977, kazi tuliyoifanya kwa niaba ya wananchi wa Tanzania," alisema Mungai.
Alifafanua katiba ya Tanzania inasisitiza haki na usawa jambo ambalo analipenda.
Akizungumza kwa mpangilio mzuri wa maneno Mungai alisema; âkatika sehemu ya tatu ya katiba yetu inayohusu haki ya usawa, ninapenda kwa sababu jambo hili la usawa lipo pia katika mjadala unaoendelea hapa wa vipindi vya ubunge na vipindi vya viti maalum.
"Ninapenda katika kuunga mkono azimio hili tulipitishe, ninukuu vifungu muhimu kutoka kwenye katiba, Ibara ya 13 ya katiba yetu (2) inasema, ni marufuku kwa sheria yoyote iliyotungwa na mamlaka yoyote katika Jamhuri ya Muungano kuweka sharti lolote ambalo ni la ubaguzi ama dhahiri au wa taathira yake," alisema Mungali akishangiliwa na wabunge wengine.
Kama hiyo, haitoshi Mungai alinukuu ibara ya nne ya katiba akisema kwamba ni marufuku kwa mtu nyoyote kubaguliwa.
Alifafanua kwamba kifungu hicho kina maana ya kwamba mwanamke ama mbunge yoyote aliyekaa vipindi viwili bungeni haruhusiwi kubaguliwa.
"Kwa madhumini ya ufafanuzi wa masharti ya ibara hii, neno kubagua maana yake ni kutimiza haja, haki au mahitaji mengineno kwa watu mbalimbali kuzingatia utaifa wao, kabila, pahala walipotokea, maoni yao kisiasa, rangi, dini, jinsi, hali yao ya maisha kwa maana inawezekana uzee,' alisema.
Mbali na vifungu hivyo Mungai pia alinukuu Ibara ndogo ya 5 ya katiba ili kufafanua maana ya ubaguzi na kueleza kuwa hakuna sababu ya kupoteza muda kuzungumzia vipindi vya ukomo kwa wabunge wala wabunge wa viti maalum kwani kufanya hivyo ni kinyume cha katiba.
"Kwa marejeo ya Katiba, utakuta hakuna sababu yoyote ya kupoteza muda kuzungumzia vipindi vya ukomo kwa wabunge wala vipindi vya ukomo kwa wajumbe wa Bunge hili kutokana na Viti Maalum kwa sababu kufanya hivyo ni kinyume cha vifungu vya katiba nilivyovinukuu," alisema Mungai.
MBUNGE wa Mufindi, Joseph Mungai jana aliibua tena mjadala wa ukomo wa vipindi vya ubunge na viti maalum akieleza kuwa wanaozungumzia suala hilo, wanakwenda kinyume cha katiba inayokataza aina yoyote ya ubaguzi.
Sasa na ile ya kusema Mgombea Urais lazima uwe at least forty / 45 kama sikosei nayo si ni ubaguzi?
Kwa nchi changa kama ya kwetu ni lazima tubadilike, tupime Mbunge kafanya nini kwa kipindi fulani, lazima tuwe na kikomo, kama zamani haikuwa hivyo basi sasa tunataka kuwa hivyo tusiige America au Uk. Haiwezekani unakuwa Mbunge miaka ishirini na tano halafu hakuna hata dispensary jimbon kwako, barabara mbovu, hakuna watalaam wa nyanja mbalimbali, ONDOKA!!
Pamoja na kuheshimu mawazo ya Wazee lakini wakati mwingine hoja zao hazina mashiko. Kwani katiba ni 'Msahafu' ama 'Biblia'? Pendekezo limetolewa kwa nia njema na lina mantiki kwamba uwepo ukomo katika ubunge. Ni suala la wananchi kupewa nafasi kulijadili kwa kina (ni haki yao ya kidemokrasia kufanya hivyo) na endapo itadhihirika kwamba wengi wanaliunga mkono basi Katiba irekebishwe accordingly.
- In the meantime ni haki ya kila mwananchi kujadili kwa kusema maoni yake and that is what is going on here, hakuna anayezibwa wala kukatazwa, binafsi siamini on ukomo wa uongozi wa ubunge ninaamini in buliding kubadili katiba ili iwe na vipengele vinavyowabana viongozi wasio na uwezo wa uongozi, meaning wananchi tuweze kuwaondoa uongozini kabla hata hawajamaliza muda wao wa uongozi,
- Kwangu ukomo is a none-ishu, the ishu ni uwezo wa uongozi, kama tumechagua kiongozi asiye na uwezo tusisubiri miaka mitano kumuondoa, aondolewe mara moja kwa kutumia vipengele vipya vya katiba, sasa na wewe una haki ya kusema maoni yako, hakuna anayemzuzia mweingine, lakini sio lazima wote tukubali ya wengine hata kama hatyaamini!!
Respect.
FMEs!
Mkuu, heshima kwako. Sioni mahali ambapo pameandikwa/kusemwa kwamba upo ulazima wa wote kukubali ya wengine hata kama hamyaamini.
- Ninashukuru sana kwamba tumerudi kwenye mada na kukubali kusikiliza pande zote za shilingi, thanx for that.
We should always agree to differ - kukubali kutokubaliana; that is democracy. Ruksa ya watu kuendelea kuwa wabunge indefinitely kwa heshima ya uzee wakati kuna wananchi wengine wenye nguvu na uwezo kwa kushika nafasi hiyo kwa mafanikio nako si busara sana. Wazee mahali pao ni kutoa ushauri panapohitaji ushauri. Suala la ukomo is under discussion so lets keep on discussing.
- Siamini kwamba katika katiba yetu tuna kipengele kinachosema kwamba ni ruksa kwa wabunge kuendelea na ubunge indefinitely kwa heshima ya uzee, katiba yetu inataka kila mbunge mzee au kijana kutetea ubunge wake every 5 years kuwapa wananchi nafasi ya kuamua kama wanamtaka mbunge au hawamtaki, historia iko wazi kwamba it works ndio maana wazee wengi wa zamani ambao wananchi hawakuridhika nao wamewatema na kuchagua either wapya au wazee.
- Wananchi wenye uwezo na nguvu, huzionyesha kwa kusimama kwenye uchaguzi it takes a lot kuweza kushinda ubunge leo Tanzania, siamini kabisa kwamba umri unaweza kuwa a factor katika kushinda ubunge, isipokuwa ni akili na uwezo wa kuelewa matatizo ya wananchi na uwezo wa mbunge kuweza kuyashughulikia. Hili wanaoweza kulielewa ni wananchi walioko jimboni kunakogombewa ubunge sio huku kwenye mitandao, kwenye mitandao tunaweza sana klu-deal na ishus za National unless kuna very special ishus za mbunge na jimbo ambazo zinahitaji our immediate attention, otherwise huku kwenye mitandao we have no clue kinachoendelea majimboni mpaka kuwaamulia nani awe mbunge wao au nani asiwe!
- Ukomo ni discussion iliyoanzishwa na Pinda Waziri Mkuu, lakini hata na yeye hakuweka wazi facts from the ground of what is his problem na ubunge wa sasa na ukomo anaoutaka, wabunge wamepitisha azimio la kutaka Lowassa na wenziwe wachukuliwe hatua on Richimonduli, yeye anaongelea ukomo wa wabunge vbadala ya what happened to lile azimio la wabunge, binafsi siungi mkono hoja ya ukomo kwa sababu tungekua na huo ukomo, sasa hivi Dr. Slaaa asingetakiwa kugombea tena ubunge, sasa ninajaribu kuifikiria hiyo National nightmare ya kumkosa bungeni kisa na mkasa eti ukomo wa wabunge kwa sababu wamekosa nguvu na uwezo kwa kwa kukaa sana bungeni, ndio maana siioni kama ni solution wala as a positive idea katika kulisaidia hili taifa na matatizo ya uongozi mbovu tulionao sasa.
- Halafu tatizo kubwa sana hapa ni kwamba wale wote mnaounga mkono hii hoja ya ukomo mnakosa sana kuioanisha na hali halisi tuliyonayo Tanzania on umuhimu wake, ndio maana ninasema hata Pinda hakuwa na enough points katika kusimamia hoja yake ya msingi, ingawa pia inajadilika sana.
Nakubaliana nawe kuhusu umuhimu wa kuwepo kwa vipengele katika katiba vitakavyowabana viongozi wazembe na wasio na uwezo kuondolewa hata kabla hawajamaliza muda wao. In doing so utakuwepo uwajibikaji na kujituma kunakohitajika na hii laisser faire attitude inaweza kuondo
- Sawa sawa mkuu, tuendelee kuelimishana na kuelimisha taifa.
Respect.
FMEs!
Mugabe is right! na Museveni naye anafuata nyayo
Re: Malecela: kuweka mihula kwa wabunge ni kukiuka Demokrasia
- Hawa nao ni wabunge wa Tanzaniatunawatakia ukomo wa ubunge wao, au?
Respect.
FMEs!