Malengo 2022 ni kuacha kunywa pombe kabisa

Tupeane mambinu, maana hili ni azimio langu la kila mwaka, na limekuwa likinishinda
Hakuna kitu rahisi Kama kuacha pombe.
Kwanza kabisa waepuke unaokunywa nao.
Kua karibu na waif, ukitoka jioni mpitie halafu break ya kwanza home. (Utapewa mzigo mpaka utajiuliza kwa michepuko nafuataga Nini)
Fanya hivyo mwezi mzima wa January.
Ukishindwa kabisa nywea BEER nyumbani mbele ya watoto wako. Siku tatu nyingi
 
POMBE HAIPANIWI KUACHWA KWA STYLE HII😂
Binafsi sijanywa tangu tarehe1 washkaji wananiuliza vp lkn mimi nawaambia nimempuzika kidogo.. kujiitangaza unaacha ni umejiroga.

Ndio kusema acha taratibu pasipo kuweka nia kuu.. mimi lengo langu la kwanza nikumaliza january hii nisinywe since hiyo 1jan
 
Always nanywea home, spending bar sifanyi , nachoma nyama zangu home, najiburudisha
 
Nakutakia mafanikio katika mkakati huo mkuu! Mungu akusaidie utimize adhima hiyo! Ingawa shetani naye atakuwa busy kukushambulia ili ukwame!
 
mkuu naendelea kuishi nao lakini bar na maeneo ya kunywa pombe siendi
Ukishatangaza yaan kuacha utaisikia wewe usimwambie yeyote .Baki kimya Tu wala usiongelee pombe au kuwaponda walevi utarudi Kwa speed ya mwanga be care don't tell anybody
 
Ukishatangaza yaan kuacha utaisikia wewe usimwambie yeyote .Baki kimya Tu wala usiongelee pombe au kuwaponda walevi utarudi Kwa speed ya mwanga be care don't tell anybody
mapinduzi day tu,,lengo limevunjwa
 
kuchanja ndio mambo gani tena hayo
 
Mkuu Mungu akiwa anakuona, hebu tuambie sasa hadi leo tar 13/1/2022 hujanywa bia hata moja?
 
Unachokitafuta ni kujipiga bomu la machozi nyumbani kwako..
 
Mara zote Huwa nasema pombe sio tatizo ila tatizo ni mtu mwenyew.....

Kwanza unatakiwa ujue level Yako ya alcohol persistence....
Epuka ma compani ya watu wa ajabu ajabu...

Piga bia zako mbili tatu Tena baada ya Kazi...Nenda nyumbani kapumzike na familia sio KILA siku....
 
Ndipo uchawi na unafki unapoanziaga. Uache kunywa bia, unywe nini!?
 
Ndipo uchawi na unafki unapoanziaga. Uache kunywa bia, unywe nini!?
Ukiacha pombe utainjoi sana game bedroom, kwanza nguvu nyingi lkn pia humkwazi mwenzio kwa harufu ya pombe. Vile vile mnakua na uwezo wa kuambiana maneno matamu matamu wakati wa game.
 
bia tamu ,asikwambie mtu,ss ukiacha bia,si utahamia kwa dadapoa mkuu.ila kilalakheri mkuu!!
 
Tatizo kutafuna shavu limejaa kama mbuzi hiyo ilinptia kushoto kazi Sana duh
 
Hongera kwa maamuzi haya.
 
Approach unayotumia huchukui round mzee Tena Kasi utakayorudi nayo ni 5g muda mwalimu mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…