Hakuna kitu rahisi Kama kuacha pombe.Tupeane mambinu, maana hili ni azimio langu la kila mwaka, na limekuwa likinishinda
Kwanza kabisa waepuke unaokunywa nao.
Kua karibu na waif, ukitoka jioni mpitie halafu break ya kwanza home. (Utapewa mzigo mpaka utajiuliza kwa michepuko nafuataga Nini)
Fanya hivyo mwezi mzima wa January.
Ukishindwa kabisa nywea BEER nyumbani mbele ya watoto wako. Siku tatu nyingi