Malengo bila Pesa ni Porojo: Motivational Speakers Acheni Kulaghai Vijana

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Mara baada ya kuweka malengo yako, kitu unachopaswa kuwa nacho ni pesa za kufanya malengo yako yatimie.

Vinginevyo hayo malengo yako yatakuwa kama pointi za Nyambari Nyangwine yaani Land alienation, Forced labour, Taxation, Low wages, Long working hours nk.

Motivational Speakers wasikudanganye, eti mtaji mkubwa ni akili sio pesa. Wakikwambia hivyo wewe usiwape pesa ya kiingilio waambie watumie akili waachane na pesa.
 
Heheee nimi sikuwa kusikiliza maskini wenzangu eti wanakufundisha uchumi ambao wao hawana
 
Malengo ni muhimu mkuu hakuna mtu ambae hapati pesa .
 
Back
Top Bottom