Jogoo mbegu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 824
- 3,449
Huku Afrika wanasema watoto waje kuwalea wakizeekaKwa maisha ya sasa sioni kama kuna tija ya kuzaa watoto wengi ni bora watoto wachache ambao utaweza kuwapatia mahitaji yao ya msingi, chakula, malazi, mavazi, furaha na elimu bora.
Mbaya zaidi unakuta mtu ana watoto wengi ambapo yeye anateseka na watoto pia wanateseka kwa kukosa mahitaji yao msingi.
Unakuta mstaafu ana watoto watu wazima na familia zao ila bado yeye anaendelea kuzaa tu.
Ushauri zaa kiasi upate muda na fedha za wewe kujinafasi na mkeo.
Kuzaa sio kujisaidiaKuna watu tunapenda watoto
Hivyo mimi nitazaa watoto kiwango kidogo sanaa labda watoto 11
Mkuu hata gari ikipigishwa sana Kazi inachoka, mpe shemeji nafasi kidogo anone na kunawiri ππKuna watu tunapenda watoto
Hivyo mimi nitazaa watoto kiwango kidogo sanaa labda watoto 11
Kama Mungu kanipangia kuzaa watoto 11, Wewe ni nani wa Kupinga!!???Kuzaa sio kujisaidia
Mkuu umemaanisha nini!! Kwenda haja au msaada!?? πππKuzaa sio kujisaidia
Mimi ndo nabeba mimba, yeye kazi yake ni kumwaga uji wa kutosha kurutubisha yai.Mkuu hata gari ikipigishwa sana Kazi inachoka, mpe shemeji nafasi kidogo anone na kunawiri ππ
Na hilo jina lako mkuu unataka utuletee balaa ulimwenguni we hata usizae kabisa...πMtoto Mmoja tu anatosha Kwangu
Siku huyo mtoto akikuvuruga utachanganyikiwa na kuanza kumlaani tuMtoto Mmoja tu anatosha Kwangu
Matajiri pesa zisizohesabika ila unakuta ana mtoto mmoja au wawili tuDini Dini Dini....
'mtoto ni baraka' 'kila mtoto anakuja na sahani yake' 'zaeni mkaijaze dunia' ni sawa tu, ila watu hawazingatii uchumi kama unatosheleza
angalia nchi zilizoendelea ambazo hazina sana dini, watu wanazaa kwa mpangilio, tena kuna wengine wako serious kabisa kuliko wazae wanaamua kufuga kambwa kamoja