CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Masikini wengi hatupo buzy tumeridika na maisha , Hivyo tunatumia muda Mwingi kufanya tendo la ndoa kwaajili ya kujifariji.
Faraja yetu ipo kwenye tendo la ndoa mimba nyingi zinakuja bila mipango.
Dini
Mafundisho ya imani yanatusisitiza tuzae tukaongezeke
Tukiamini watoto ni Baraka kila mtoto anakuja na Baraka zake.
Utegemezi
Ninazaa watoto wengi nikitegemea watasaidiana na kushirikiana kwa pamoja kupambana na na maisha.
Umani na kujifariji Nitazaa mtoto ambaye atakuja kuwa Rais au waziri mkuu, waziri nk.
N:B MASIKINI TUNAPEANA UJAUZITO BILW MIPANGO MIMBA INATOKEA FROM NO WHERE.